Sasa imekuwa wazi, kanda ya ziwa ina watanzania asilimia 25 tu

Unataka kusema kwamba Mkoa wa tabora hakuna sehemu ambayo Umepakana na mkoa wa kigoma?.Alafu mwanza je kuna mahali umepakana na tabora?.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
inshu sio kupakana au nini,Japo Tabora inapakana na mkoa wa kigoma kupitia wilaya ya uvinza,baada ya wilaya ya KALIUA,lakini hilo ziwa Tanganyika lilipo ni mbali zaidi kuliko kutoka TABORA,kwenda Mwanza,licha ya hiyo mikoa kutopakana ni karibu zaidi,kuliko kwenda kigoma.
 
Tusipoangalia na kumshawishi Mpina 2025 tuondoke naye kwenye urais, tunarudi mwaka 2015 enzi za JK generator kupiga kelele kariakoo usiku na mchana.
 
Tabora imejaza wasukuma mkuu
 
Ila urais hauwezi kupAtikana kwa Hilo
 
Duh..haya
Naendelea kujifunza, thanks.
Halafu kanda ya magharibi ndo naisikia leo
Kanda ya Magharibi ipo Tabora ndio makao makuu Kuna Kigoma na Katavi pia.
 
Hajui lolote huyo
Kwa uzoefu wangu wa kusafiri Nchi hii pendwa , kusema kweli sifa zimwendee Mel Julius Nyerere kwa kuweza kutuunganisha tukawa kitu kimoja,

Mimi Nikienda kanda ya Ziwa na Magharibi ambayo ndio Kigoma na Tabora imo huwa sioni tofauti ya makabila au niseme tabia mila na desturi ya watu wa huko na wa kanda ya ziwa, hata watu wa Bukoba vile vile,

Huwezi kuwaweka watu wa kanda ya Ziwa na kanda ya Magharbi ukasema ni jamii tofauti,

Nazungumzia hivyo kwa sababu ukienda Mwanza, Mara, Tabora, Kagera, shinyanga, Kigoma, na ukaenda Arusha, Kilimanjaro,Manyara na Tanga, au Toa Tanga hapo uiweke kanda ya mashariki na kusini, utaona jinsi hao watu wanavyofanana kitabia na kidesturi, huwezi kusema watu wa Bukoba Kigoma wana desturi na mila na tabia tofauti na watu wa musoma Mwanza, Shinyanga na Tabora.

Kwa hiyo mimi kwa namna ninavyoyaona hayo makabila ni sawa kuwaita wote ni wa kanda ya Ziwa,

Au labda hilo neno Ziwa ndio linachanganya watu
 
Kanda ya ziwa 2035 tuna Jambo letu 😁, hao wazee back 3 watakuwa wamekufa wote , vijana wao wale ni wepesi Sana , wanategemea mbeleko za wazee wao tuu, kanda ya ziwa sa hv kila mtu ana chuki Kali ipo Tu moyoni imetulia😁
 
Kanda ya ziwa 2035 tuna Jambo letu 😁, hao wazee back 3 watakuwa wamekufa wote , vijana wao wale ni wepesi Sana , wanategemea mbeleko za wazee wao tuu, kanda ya ziwa sa hv kila mtu ana chuki Kali ipo Tu moyoni imetulia😁
Yaani mimi siku zote huwa nasema siku msoga akilamba mchanga nchi hii ndo itapumua na hapo ndo patachimbika kweli kweli.
 
Mtwara na Lindi jumla ya wakazi 786,546. Huko eneo kubwa ni mapori yasiyokaliwa na watu. [emoji38][emoji38]
Uwongo mkubwa! Hiyo mikoa, kila mmoja una 1m+.
 
Leo ndo nimegundua kwamba Tabora ipo kanda ya kati.
Nilikuwa najua ni kanda ya ziwa kwasababu wanaendana na wasukuma.
Kanda hazifuati makabila bali maeneo ya kijiografia.
 
Ruvuma ioo Kanda ya Kusini.
 
We kiazi Tanga iko wap
Sifa moja ya mtu mjinga ni kutukana. Mjinga hana uwezo wa kujenga hoja. Wendawazimu/vichaa, jambo pekee ambalo wanaweza ni kutukana basi.

Ukiona unapenda kutukana, ni dalili ya wazi kuwa una tatizo la ugonjwa wa akili. Nenda hospitali, usaidiwe mapema.

Tanga, ni Kanda ya Kaskazini.
 
hiki wanachojaribu kukitetea oor kigoma katavi etc ni mbinu chafu za kugawa nchi kikabila na kikanda, kanda hii inajiita kanda ya ziwa ina shida. Na hili linatokna na Era iliyopita walitaka kuendelea kutawala kwa kigezo hiki inabidi kikemewe kwa nguvu zote very selfish thinking. Namkumbuka sana baba wa Taifa na kujua kwa nini alipambana sana na ukabila kumbe alijua watu wa kanda yake ni wakabilia sana.
 
Huwa najiuliza sijui ni kwanini watanzania wa mikoa mingine Sana Sana watu wa mkoa wa arusha hawaipendi mikoa ya Kanda ya ziwa especially mwanza
Em tuambizane sababu ni nini?
Hadi mnakua kama wakenya vile hawaipendi Tanzania.
Umetumia kipimo gani? Mbona kuna watu wengi wa Kanda ya Kaskazini Mwanza, kuliko watu wa Kanda ya Ziwa waliopo Kanda ya Kaskazini?

Tena watu wengi wa Kanda ya Kaskazini wameweka makazi ya kudumu Kanda ya Ziwa? Hiyo kusema hawaipendi Kanda ya Ziwa, umetumia kigezo gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…