Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 135,167 Reaction score 160,806 May 30, 2021 #161 Sidhani kama kuna ukweli kweli hili... Maana zile machine bila mfumo wa receipt kufanya kazi hazitoi mafuta... wala wazichezee mashine...
Sidhani kama kuna ukweli kweli hili... Maana zile machine bila mfumo wa receipt kufanya kazi hazitoi mafuta... wala wazichezee mashine...
MSHINO JF-Expert Member Joined Jul 26, 2013 Posts 1,069 Reaction score 713 Jun 7, 2021 Thread starter #162 Smart911 said: Sidhani kama kuna ukweli kweli hili... Maana zile machine bila mfumo wa receipt kufanya kazi hazitoi mafuta... wala wazichezee mashine... Click to expand... Ohhhh unaishi nchi ndg yangu, hii ni bongo. km ni kweli basi TRA wana husika ktk hujuma hii.
Smart911 said: Sidhani kama kuna ukweli kweli hili... Maana zile machine bila mfumo wa receipt kufanya kazi hazitoi mafuta... wala wazichezee mashine... Click to expand... Ohhhh unaishi nchi ndg yangu, hii ni bongo. km ni kweli basi TRA wana husika ktk hujuma hii.
MSHINO JF-Expert Member Joined Jul 26, 2013 Posts 1,069 Reaction score 713 Jun 7, 2021 Thread starter #163 Poleni wanao mshambulia Mama Samia, si lengo la kuleta mada hii, bali ni kutaka kutoa taarifa kwani mama km kiongozi hawezi kujua kila kitu bila raia wema kumsaidia. Sina uhakika km kuna kiongozi hapendi kukusanya kodi. sema watu wameanza ku relax
Poleni wanao mshambulia Mama Samia, si lengo la kuleta mada hii, bali ni kutaka kutoa taarifa kwani mama km kiongozi hawezi kujua kila kitu bila raia wema kumsaidia. Sina uhakika km kuna kiongozi hapendi kukusanya kodi. sema watu wameanza ku relax