Sasa inakuwa rasmi mafuta bila stakabadhi

Kuna wamiliki wa malori/mitambo/mabasi ambao hununua jumla huko depo Na kuyapeleka kwenye karakana zao Kwa ajili ya kuhudumia vyombo vyake tu,huyo tutambana vipi alipe Kodi?

Suluhisho ni lile lililotolewa na Shabiby bungeni kwamba Kodi ichukuliwe huko huko depo kabla ya kusambazwa.Lakini kwasababu Jiwe alikuwa hashauriki hakusikia hilo
 
Sitaki kuamini kama TRA hawajui, watakuwa wanajinafasi kwenye nchi yao.
 
Kuna wamiliki wa malori/mitambo/mabasi ambao hununua jumla huko depo Na kuyapeleka kwenye karakana zao Kwa ajili ya kuhudumia vyombo vyake tu,huyo tutambana vipi alipe Kodi?

Suluhisho ni lile lililotolewa na Shabiby bungeni kwamba Kodi ichukuliwe huko huko depo kabla ya kusambazwa.Lakini kwasababu Jiwe alikuwa hashauriki hakusikia hilo
Tatizo kodi hiyo inalipwa na mnunuzi/mtumiaji, kwa maana hiyo inakuwa ngumu kwa wale wanaopeleka viwandani. nakubaliana na wewe kuwa ilipwe na depot ili wote walipe kodi.
 
Kuna wamiliki wa malori/mitambo/mabasi ambao hununua jumla huko depo Na kuyapeleka kwenye karakana zao Kwa ajili ya kuhudumia vyombo vyake tu,huyo tutambana vipi alipe Kodi?

Suluhisho ni lile lililotolewa na Shabiby bungeni kwamba Kodi ichukuliwe huko huko depo kabla ya kusambazwa.Lakini kwasababu Jiwe alikuwa hashauriki hakusikia hilo
Kabla ya hapo kodi hii ilikuwa kwenye road lisence kwa hiyo watarudisha road license ya kila mwaka.
 
Kwani hao wenye vituo vya mafuta huko wanakoyatoa si wananunua na risiti wanapewa ya TRA that means wanakuwa wamesha yalipia kodi, au wananunua yakiwa tax exempted.
 
Tangu Rais wetu mpendwa aingie madarakani baadhi ya vituo vya mafuta havitoi receipt za ki eletronic. mfano ukienda PUMA kawe unaambiwa karatasi zimeisha, siku nyingine hakuna wino, ni mwezi sasa. PetroAfrica Bunju, unambiwa hakuna karatasi, Oilcom unambiwa machinembovu. Ni vituo vingi vinafanya hivyo.

TRA MPOOOOO
Hii kodi kwanini TRA wasiichukue kabisa pale bandarini mafuta yanapoingia? Sisi tubaki kuwarudishia wenye vituo tu, risiti iwe utashi wangu kuchukua au kutokuchukua.
 
Tangu Rais wetu mpendwa aingie madarakani baadhi ya vituo vya mafuta havitoi receipt za ki eletronic. mfano ukienda PUMA kawe unaambiwa karatasi zimeisha, siku nyingine hakuna wino, ni mwezi sasa. PetroAfrica Bunju, unambiwa hakuna karatasi, Oilcom unambiwa machinembovu. Ni vituo vingi vinafanya hivyo.

TRA MPOOOOO
Naomba basi nichangie haya!
Hii haiko kwenye mafuta tuu bali kuna mabadiliko kila mahali, chanya na hasi..na hili ndio tatizo la kuwa na oneman show! Akiondoka mambo yanaparaganyika.. Hili si tatizo la mtu mmoja bali ni udhaifu wa kanuni na sheria zetu tulizojitungia wenyewe
Wanasiasa ni wapitaji tuu lakini sheria na kanuni zikiwa nzuri hutaeza kuona mtikisiko kukiwa na mabadilko
 
Hata wewe yanakuhusu kwa sababu kodi inarudi kukusaidia wewe na ukoo wako.
Hairudi! Bora tusichukue risit tuwaachie watanzania wenzetu wafaidi kuliko kulipa kodi halafu majizi machache ya ccm yanakwapua

Mimi kuliko kulipa kodi nchi hii nitatafuta kila namna kukwepa, bora wabaki nayo wafanya biashara itafaidisha wengi kulko inakusanywa matrillion inaibiwa na majizi machache
 
Back
Top Bottom