Munambefu
JF-Expert Member
- Jun 24, 2012
- 2,811
- 7,200
Kuna wamiliki wa malori/mitambo/mabasi ambao hununua jumla huko depo Na kuyapeleka kwenye karakana zao Kwa ajili ya kuhudumia vyombo vyake tu,huyo tutambana vipi alipe Kodi?
Suluhisho ni lile lililotolewa na Shabiby bungeni kwamba Kodi ichukuliwe huko huko depo kabla ya kusambazwa.Lakini kwasababu Jiwe alikuwa hashauriki hakusikia hilo
Suluhisho ni lile lililotolewa na Shabiby bungeni kwamba Kodi ichukuliwe huko huko depo kabla ya kusambazwa.Lakini kwasababu Jiwe alikuwa hashauriki hakusikia hilo