Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 24,665
- 25,388
Hutaki kusemeshwa wala kuongeleshwa na mwanaume yoyote, yet umeng'ang'ana na mikesha ya maombi na maombezi, na sijui kukanyanga mafuta ya nini huko ili upate mume!
Yaan unamkataa kabla halafu kwenye kuombewa, unatoa machozi kabisa kumuhitaji. My friend, utakanyaga mafuta mpaka uote magaga na vigimbi, hutaolewa kwa sababu ya kujiona Mtakatifu na hicho kiburi chako.
Jichunguze tu,
utakua umemaliza lita ngapi saivi kujipaka hayo mafuta sijui ya nini mnapewaga huko na ambayo unaendaga kukanyaga?
Kitu kitakatifu hakikanyagwi ladies and gentlemen. Ni laana kukanyaga kitakatifu.
Wanaume,
Fanya bidii na kujituma katika kazi bila kukata tamaa wala woga, na hapo ndipo muujiza wa mafanikio yako uliopo. Usidanganyike kirahisi kama wa kukanyaga mafuta.
vinginevyo utapururwa mno kiuchmi na hiyo inayoitwa sijui sadaka ya urejesho au ya kuteketeza. hata hivyo ni muhimu sana sote tujipeleke kwa Mungu.
Mshirikishe Mungu kwa uaminifu katika kila jambo, vinginevyo utatapeliwa sana friend.🐒
Mungu Ibariki Tanzania.