Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mbaya sana siku hiyo isiyojulikana, akikukuta uko kwenye uzinzi ama uasherati na huna ndoa,Kesheni mkiomba maana hamjui siku wala saa ajayo mwana wao Adam
jambo la muhimu ni mawaidha haya mujarabu kwa wahusika,Njia za kutafuta mwanamke zipo nyingi "gentleman "🤣🤣
Hata hapa jf mbona ukiamua kutafuta unapata tu.
Huyo wa kukanyaga mafuta wewe muache akanyage.
wanasumbua sana mitume na manabii japo wanapooza na tusadaka tudogo tudogo na maisha ya familia za waombezi wanapata chochote kitu.Una sonona Kali sana. Mambo ya mwanamke asiyekuhusu wala hana shida na wewe, hana haja ya kuongea na wewe, yeye kila siku kanisani wewe kinakuuma nini? Unatokwa na povu wakati huyo haendi swala tano. Ànaenda jumapili tuu.
Angekuwa anakanyaga mafuta mara tano kwa siku naona ungemçhinja kabisa.
Zaburi.23:1 Bwana ndie mchungaji wangu, sitapungukiwa na kitu.Mzee vp! kuna manzi anakukazia au?
Sure gentleman,Pole sana ndugu, naona umekatiliwa ikabidi umalizie hasira zako huku. Wanawake wapo wengi we tafuta wa level yako utapata na usiingize maswala ya imani, ikishindikana tafuta fedha kwa bidii Watakuja wenyewe.
Yeye kama ana kanyaga mafuta kwa miguu yake inakuuma we kanyaga moto ukuchome.
Kijana wa kiume kwenye maombezi anaenda kukanyaga mafuta na kuombewa iii apate kazi, wakati huo huo mtaani kuna kazi nyingi anazi dharau.Hutaki kusemeshwa wala kuongeleshwa na mwanaume yoyote, yet umeng'ang'ana na mikesha ya maombi na maombezi, na sijui kukanyanga mafuta ya nini huko ili upate mume!
Yaan unamkataa kabla halafu kwenye kuombewa, unatoa machozi kabisa kumuhitaji. My friend, utakanyaga mafuta mpaka uote magaga na vigimbi, hutaolewa kwa sababu ya kujiona Mtakatifu na hicho kiburi chako.
Jichunguze tu,
utakua umemaliza lita ngapi saivi kujipaka hayo mafuta sijui ya nini mnapewaga huko na ambayo unaendaga kukanyaga?
Kitu kitakatifu hakikanyagwi ladies and gentlemen. Ni laana kukanyaga kitakatifu.
Wanaume,
Fanya bidii na kujituma katika kazi bila kukata tamaa wala woga, na hapo ndipo muujiza wa mafanikio yako uliopo. Usidanganyike kirahisi kama wa kukanyaga mafuta.
vinginevyo utapururwa mno kiuchmi na hiyo inayoitwa sijui sadaka ya urejesho au ya kuteketeza. hata hivyo ni muhimu sana sote tujipeleke kwa Mungu.
Mshirikishe Mungu kwa uaminifu katika kila jambo, vinginevyo utatapeliwa sana friend.🐒
Mungu Ibariki Tanzania.
Ukienda deep sana kuhusu hiyo Psalms 23 aisee utajifunza na kujua mengi sana sio Chapter nyepesi kama watu wanavyoichukuliaZaburi.23:1 Bwana ndie mchungaji wangu, sitapungukiwa na kitu.
Gentleman,
mtu mwenye maono, aliejazwa Neema na Baraka za Mungu hutoa mawaidha yenye manufaa kwa wadau wote kwa ujumla. Tafadhali makinika 🐒
short and clear explanations 💪👊Kijana wa kiume kwenye maombezi anaenda kukanyaga mafuta na kuombewa iii apate kazi, wakati huo huo mtaani kuna kazi nyingi anazi dharau.
Binti kwenye maombezi anaenda kuombewa ili apate Mchumba aolewe wakati mtaani akisalimiwa na Vijana haitikii hata salaam.
Acha Mqnabii wauze Mafuta ya upako na wakusanye sadaka waendelee kutajirika kwa ujinga wa watu wasio jielewa.
Tunacheka kana kwamba ni mazuri yanachekesha,Yule dada wa makomo nilikutana nae Mwenge dsm nikaanza kumtania v shemej Hajambo akasema yup hyu mi nipo singe nikamuuliza je upo tayar kuolewa mke wa pili akasema sio wa pili hata wa nne nipo tayar hata kesho ..bac nkafany mchakato nikajilia mzigo af🏃♀️🏃♀️🏃♀️🏃♀️
sure,Ogopa sana mtu ambaye anajiona ni msafi kwenye dini hizi! Kila wakati anaonekana mtakatifu! Fun enough ni kuww these people are the worst! Dini huwa ni kivuli cha kuficha mabaya yao
🙏🙏🙏short and clear explanations 💪👊
Gentleman,
umeeleza vizur mno, tena kwa kifupi lakini pia kwa kina sana na kwa lugha rahisi, mambo haya mazito na muhimu yanayowachelewesha sana vijana wa kike na kiume kufikia ndoto na matarajio yao ya maisha humu nchini.
God bless you 🙏
Gentleman,Kwenye maisha kila mtu ana kipaumbele chake na mitazamo yake!ni vyema kuheshimu na kuthamini mitazamo na vipaumbele vya wengne hata kama viko kinyume na mitazamo au hata imani yako!!learn to live ur life,let them live theirs!
Gentleman,
feel free kufanya unavyoweza kufanya,
Lakini kila moja anawajibika tena kwa uhuru kabisa kutoa mawaidha, kuonya, kukemea ama vinginevyo ikiwa jambo Fulani ni kichocheo cha ukubwa wa changamoto Fulani..
kukaa kimya dhidi ya uharbifu au uovu ni dhambi lakini pia ni unafik wa kiwango cha juu mno..
ukweli utasemwa bila mbambamba yoyote, na wenye kuskia na wasikie na wenye kupuuzia wapuuze pia,
ila pia wasinung'unike sana pale ambapo haya tunayoyajadili leo ya kiwazonga wao.
Hiyo itakua case study ana reference kwa wengine
mawaidha yangu ni kwamba,Unataka aache kuomba na kwenda kusali abaki anang'ang'anizana na wewe.Ukishampa mimba unarudi huku huku kwenye ule uzi wenu wa single maza.Mwache tu aende huko ikibidi alale hukohuko dunia ya sasa imeharibika sana.Unampenda nenda kwao kajitambulishe umuoe