Sasa kama wewe ni Mtakatifu unaenda kufanya nini kwenye mikesha ya Maombi na Maombezi?

Kesheni mkiomba
 
If you are looking for prostitutes in their prime go to the club, If you are looking for retired prostitutes go to the church.
 
sure,
uovu mwingi mno umejificha kwenye wema na huo utakatifu, hasa nyakati hizi.

umakini ni muhimu zaidi wakati wote πŸ’
Kuna janga moja lipo makanisani PRAISE & WORSHIP TEAM πŸ˜ƒ Wale jamaa wanakulana ndani kwa ndani kiasi kwamba ukiona mdada wa sauti ya Pili akikosekana church basi na drum boy naye hayupo! Wanafanya PRAISE Maghetoni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…