KanyeWest_Tz
JF-Expert Member
- Jul 18, 2026
- 237
- 542
Ndugu vijana wenzangu ni wakati sasa wa sisi kutafuta fursa kwa wanawake walio jipata.
Kama mwanasaikolojia mwenyewe kathibitisha kwa nini tukatae..
Kwa sisi tulio Dar, ni muda mwafaka sasa kuwinda mishangazi na kuipelekea moto ili tupate mianya ya hela na mafanikio.
Sikiliza hapa👇
Kikubwa unapaswa kuwa na akili mtu wangu.
Usikae kizembe na ajira hakuna.
Ni muda sasa wa kutafta manzi yenye mawe, usihangaike tena na wakina mwajuma ndala ndefu.
Nimewapa code mshindwe nyie sasa.