KanyeWest_Tz
JF-Expert Member
- Jul 18, 2026
- 237
- 542
Kaa rada mzee...Issue kuwapata sasa
Polee.Kaa rada mzee...
Usiwe mzembe. Nenda hotelini choma hata laki, agiza wine then winda
Pole ya nn kiongozi?Polee.
Hiyo biashara hailipi. Wanawake wenye pesa hizo kibongo bongo ni wachache sana. Kwakifupi supply na demand mizani hai balance kabisa. Sasa kuishi kwa ngekewa ni moja ya viashiria vikubwa kuwa utaishia kuwa masikiniPole ya nn kiongozi?
Usijaribu utapotea mazima pambana tu mwenyewe mdogo mdogo upate uhuru kamili.Ndugu vijana wenzangu ni wakati sasa wa sisi kutafuta fursa kwa wanawake walio jipata.
Kama mwanasaikolojia mwenyewe kathibitisha kwa nini tukatae..
Kwa sisi tulio Dar, ni muda mwafaka sasa kuwinda mishangazi na kuipelekea moto ili tupate mianya ya hela na mafanikio.
Sikiliza hapa👇
View attachment 3650302
Kikubwa unapaswa kuwa na akili mtu wangu.
Usikae kizembe na ajira hakuna.
Ni muda sasa wa kutafta manzi yenye mawe, usihangaike tena na wakina mwajuma ndala ndefu.
Nimewapa code mshindwe nyie sasa.
Si kumaanisha walio kwenye ndoaDaah wazo nzuri lakin ukubali na kubeba roho yako mkonon kule maex wake cjw mme mara magonjwa daaah mara ninyonye k mmh kama limekukubalia wew jua wapo 3 kama ww mmoja akipata ugonjwa wote mnapata
Wewe si ndo wale wale kasoro tarehe?Kamserereko , mavijana ndio maana hamchelewi kudukuliwa mifumo kwa tamaa ya mafanikio ya haraka
Wewe si ndo wale wale kasoro tarehe?
Kwahiyo maneno mwanasaikolojia ubaya kataa?Hizi ni akili za kijinga sana
Inashangaza mnoHizi ni akili za kijinga sana