Sasa leo ndiyo imekoleza imani yangu kwa wanawake wengi wapo kwenye ndoa kwa ajili ya maslahi ya kiuchumi sio wote ila wengi wao

Sasa leo ndiyo imekoleza imani yangu kwa wanawake wengi wapo kwenye ndoa kwa ajili ya maslahi ya kiuchumi sio wote ila wengi wao

Makonde plateu

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2022
Posts
1,443
Reaction score
3,480
Kuna mdau mmoja umeuliza kwamba mwanamke amepata kazi marekani yenye maslahi makubwa na mume wake amemuuliza utachagua kipi kati ya mimi au hiyo kazi yako? Soma maoni ya wadau(wanawake) aisee

Soma maoni ndiyo ujue wengi wetu huko kwenye ndoa tunaishi na wanawake wa namna gani 👇👇👇👇
 

Attachments

  • FB_IMG_1731823823946.jpg
    FB_IMG_1731823823946.jpg
    50.2 KB · Views: 7
  • Screenshot_2024-11-17-09-10-08-659_com.facebook.katana.jpg
    Screenshot_2024-11-17-09-10-08-659_com.facebook.katana.jpg
    300.7 KB · Views: 6
  • Screenshot_2024-11-17-09-10-04-053_com.facebook.katana.jpg
    Screenshot_2024-11-17-09-10-04-053_com.facebook.katana.jpg
    232.6 KB · Views: 7
  • Screenshot_2024-11-17-09-09-54-870_com.facebook.katana.jpg
    Screenshot_2024-11-17-09-09-54-870_com.facebook.katana.jpg
    311 KB · Views: 6
  • Screenshot_2024-11-17-09-09-46-163_com.facebook.katana.jpg
    Screenshot_2024-11-17-09-09-46-163_com.facebook.katana.jpg
    311.5 KB · Views: 6
  • Screenshot_2024-11-17-09-09-46-163_com.facebook.katana.jpg
    Screenshot_2024-11-17-09-09-46-163_com.facebook.katana.jpg
    311.5 KB · Views: 5
  • Screenshot_2024-11-17-09-17-21-812_com.facebook.katana.jpg
    Screenshot_2024-11-17-09-17-21-812_com.facebook.katana.jpg
    216.3 KB · Views: 6
  • Screenshot_2024-11-17-09-17-13-689_com.facebook.katana.jpg
    Screenshot_2024-11-17-09-17-13-689_com.facebook.katana.jpg
    223.9 KB · Views: 4
  • Screenshot_2024-11-17-09-17-08-220_com.facebook.katana.jpg
    Screenshot_2024-11-17-09-17-08-220_com.facebook.katana.jpg
    287.2 KB · Views: 4
  • Screenshot_2024-11-17-09-16-51-999_com.facebook.katana.jpg
    Screenshot_2024-11-17-09-16-51-999_com.facebook.katana.jpg
    354.7 KB · Views: 8
Wanaume tuna kazi kubwa sana hapa duniani kwa hawa viumbe, kama unaamini dini basi utaona mwanamke yupo chini ya mwanaume na si chochote kwa mwanaume...

Lakini ubaya ni kwamba Mfumo wa maisha ya kidunia, mabadiliko ya kimazingira umeharibu sana mfumo na afya ya akili ya mwanaume na mwanamke, leo hii mwanaume amekuwa mtumwa wa mwanamke na mwanamke amekuwa ndiye mtu wa kumtumikisha mwanaume... Kuna kizazi hapa kati kilikosea namna ya kumlea mtoto na bado kuna kizazi kinaendelea kufanya makosa katika malezi ya mtoto
 
Mwanamke anapaswa kunyimwa nafasi ya kwenda shule, mababu zetu waliona mbali
 
Mwanaume akipata kazi nzuri na pesa anatafuta mke wa kuishi nae ila mwanamke ndio saa atavunja hata ndoa awe single
 
kama una miaka kuanzia 28 ulitakiwa kuwa unalijua hilo mapema tu, sio jipya wala la kushangaza. Mwanamke anahitaji sababu ya kuishi na wewe, ikikosekana si wako tena. Sababu kubwa ya enzi na enzi ni uchumi, ndio maana wazee hawakutaka wanawake kufanya kazi na kupata vipato vyao kama wao, kama atafanya akapta kipato basi ni cha familia. Mwanamke akipata uwezo kujihudumia akaishi bila wewe unapoteza ushawishi wa kuwa nae, upendo pekee hautoahi kummiliki.
 
Back
Top Bottom