Emmanuel kant
JF-Expert Member
- Mar 15, 2026
- 333
- 857
Hili taifa ni Vale Nafaka tu ndo ataliokoa na kuliponya. Na siyo Tanzania tu ataenda mbali hadi Israel na kuwapatanisha wateule na wapalestina. Isitoshe ataleta amani ya kudumu mashariki ya kati.Hawa wazee kila mtu aliondoka kwa kisingizio cha umri umekwenda vilele kama wale washauri wa mfalme nero walivyoondoka wanaomba wapumzike ukweli sio umri ila walishanusa uchafu utakao waangukia wakaona wamuachie Kikwete na Samia na vijana wao wachafuke wenyewe.
Kinana ni mzee kuliko wasira!?
Mangula na wasira wamepishana miaka mingapi!?
what a nonsense gentleman?🐒Kwenu Lucas Mwashambwa na Tlaatlaah
Huyu haweziHili taifa ni Vale Nafaka tu ndo ataliokoa na kuliponya. Na siyo Tanzania tu ataenda mbali hadi Israel na kuwapatanisha wateule na wapalestina. Isitoshe ataleta amani ya kudumu mashariki ya kati.
View attachment 3691346
MamaSamia2025
labda kinana Mangula anauchafu gani!? Kinana anadamu za watu!?Kwamba kinana na mang'ula nao walikua watu wema? Duu!
amuwekee bibi yakounahoja USIKILIZWE tafazali na MAFWELE akuwekee ULINZI mnahitajika kama nyie
kabisaMambo ya dunia
Sio kosa lake alitamani kuwa mhudumu wa ndegeSamia hakupaswa kuwa hata Mjumbe wa nyumba Kumi!
Huwa nadhani hata wale nyumbu wa Serengeti wanatushangaa watu wenye akili timamu kuongozwa na mtu ambaye hata hao nyumbu wenyewe wasingekubali kuongozwa nae!
Watu wote wenye akili wameamua kubwaga manyanga,yamebaki mazezeta!
mnoInasikitisha sana
Ila kama huyu unampiga mpka unajamba jamba maana siyo kwa sugu hiloHili taifa ni Vale Nafaka tu ndo ataliokoa na kuliponya. Na siyo Tanzania tu ataenda mbali hadi Israel na kuwapatanisha wateule na wapalestina. Isitoshe ataleta amani ya kudumu mashariki ya kati.
View attachment 3691346
MamaSamia2025
Ongezea na Phillipo Mpango, na Majaliwa Kassim MajaliwaHawa wazee kila mtu aliondoka kwa kisingizio cha umri umekwenda vilele kama wale washauri wa mfalme nero walivyoondoka wanaomba wapumzike ukweli sio umri ila walishanusa uchafu utakao waangukia wakaona wamuachie Kikwete na Samia na vijana wao wachafuke wenyewe.
Kinana ni mzee kuliko wasira!?
Mangula na wasira wamepishana miaka mingapi!?
Maendeleo hayana chamaau nasema uongo ndugu zangu
Sasa iweje mwanzoni mwa uzi wako umemuelezea kama mtu msafi.Kinana anadamu za watu!?