Sasa naelewa kwanini watu wenye akili kama mzee Mangula na Kinana walimtosa Samia. Kumbe waliona mbele ni giza

Sasa naelewa kwanini watu wenye akili kama mzee Mangula na Kinana walimtosa Samia. Kumbe waliona mbele ni giza

Hawa wazee kila mtu aliondoka kwa kisingizio cha umri umekwenda vilele kama wale washauri wa mfalme nero walivyoondoka wanaomba wapumzike ukweli sio umri ila walishanusa uchafu utakao waangukia wakaona wamuachie Kikwete na Samia na vijana wao wachafuke wenyewe.

Kinana ni mzee kuliko wasira!?

Mangula na wasira wamepishana miaka mingapi!?
Kinana alitaka kupumzika tangu magu alipoingia tu,magu akamgomea kujiuzulu akisoma barua yake mbele ya kamera za tv
Muwe mnazua mkiwa na data za kutosha
 
Hili taifa ni Vale Nafaka tu ndo ataliokoa na kuliponya. Na siyo Tanzania tu ataenda mbali hadi Israel na kuwapatanisha wateule na wapalestina. Isitoshe ataleta amani ya kudumu mashariki ya kati.

View attachment 3691346

MamaSamia2025
Vale ni mwanamke mrembo aliyevuka viwango vyote vya urembo kwa mujibu wa utafiti uliofanyika huko Mburahati Madotto, Kigogo, Manzese Midizini hadi pembezoni mwa maeneo ya Mabibo. Sura na shepu yake inaweza sababisha mgambo wa Houth kuweka silaha chini na kukiri kuwa Yesu ni bwana na mwokozi wa maisha yao.
 
Hawa wazee kila mtu aliondoka kwa kisingizio cha umri umekwenda vilele kama wale washauri wa mfalme nero walivyoondoka wanaomba wapumzike ukweli sio umri ila walishanusa uchafu utakao waangukia wakaona wamuachie Kikwete na Samia na vijana wao wachafuke wenyewe.

Kinana ni mzee kuliko wasira!?

Mangula na wasira wamepishana miaka mingapi!?
Kwahiyo unataka kusema nini kuhusu Wasira,maana naona kama unazunguka hivi...
 
Samia amedhibitisha pasipo shaka kuwa yale maneno yake: "mimi siwezi. Lakini wakaniambia utaweza tu" yalikuwa sahihi kabisa.

Swali litabakia ni kina nani hao walikuwa wanamwambia "utaweza tu"
 
Samia amedhibitisha pasipo shaka kuwa yale maneno yake: "mimi siwezi. Lakini wakaniambia utaweza tu" yalikuwa sahihi kabisa.

Swali litabakia ni kina nani hao walikuwa wanamwambia "utaweza tu"
JK aliwahi sema "tukiona anafaa tutampitisha ...."

Hao wazee waliona wastaafu ili wapate muda mzuri wa kutubu.

Namshangaa mzee Wasira anaendelea kujichumia madhambi - tena ya mauaji
 
Back
Top Bottom