Sasa naelewa kwanini watu wenye akili kama mzee Mangula na Kinana walimtosa Samia. Kumbe waliona mbele ni giza

Sasa naelewa kwanini watu wenye akili kama mzee Mangula na Kinana walimtosa Samia. Kumbe waliona mbele ni giza

Hawa wazee kila mtu aliondoka kwa kisingizio cha umri umekwenda vilele kama wale washauri wa mfalme nero walivyoondoka wanaomba wapumzike ukweli sio umri ila walishanusa uchafu utakao waangukia wakaona wamuachie Kikwete na Samia na vijana wao wachafuke wenyewe.

Kinana ni mzee kuliko wasira!?

Mangula na wasira wamepishana miaka mingapi!?
Ila sisiem sii wa kuwatetea hata kidogo

Ni katika uongozi wa jiwe hiyo mangula alitegeshewa sumu ofisi ndogo lumumba

Jiwe na Kimama wote ni bure tu…
 
Daahh ila Mpango ndio kajua kupotea aisee. Kimyaaaaa utasema hayupo huyu mzee
nasikia kateuliwa kuwa Mshauri huko Magogoni!
Umewahi ona Raisi anajaza Ikulu Washauri, ina maana ni zero katika Kuongoza
 
nasikia kateuliwa kuwa Mshauri huko Magogoni!
Umewahi ona Raisi anajaza Ikulu Washauri, ina maana ni zero katika Kuongoza
Cha ajabu wakikutana kwenye vikao, yeye ndio anawashauri badala ya kupokea ushauri 😂😂
 
Kuna watu wanaweza kuona mbali kabla maafa hayajatokea
 
Back
Top Bottom