gallow bird
JF-Expert Member
- Aug 10, 2024
- 14,889
- 18,593
Kinana alitaka kupumzika tangu magu alipoingia tu,magu akamgomea kujiuzulu akisoma barua yake mbele ya kamera za tvHawa wazee kila mtu aliondoka kwa kisingizio cha umri umekwenda vilele kama wale washauri wa mfalme nero walivyoondoka wanaomba wapumzike ukweli sio umri ila walishanusa uchafu utakao waangukia wakaona wamuachie Kikwete na Samia na vijana wao wachafuke wenyewe.
Kinana ni mzee kuliko wasira!?
Mangula na wasira wamepishana miaka mingapi!?
Vale ni mwanamke mrembo aliyevuka viwango vyote vya urembo kwa mujibu wa utafiti uliofanyika huko Mburahati Madotto, Kigogo, Manzese Midizini hadi pembezoni mwa maeneo ya Mabibo. Sura na shepu yake inaweza sababisha mgambo wa Houth kuweka silaha chini na kukiri kuwa Yesu ni bwana na mwokozi wa maisha yao.Hili taifa ni Vale Nafaka tu ndo ataliokoa na kuliponya. Na siyo Tanzania tu ataenda mbali hadi Israel na kuwapatanisha wateule na wapalestina. Isitoshe ataleta amani ya kudumu mashariki ya kati.
View attachment 3691346
MamaSamia2025
jipige kifua kusoma maandiko ya mumeo a kujibuamuwekee bibi yako
mada uandike wewe ukiungwa mkono matusi???????????? ngoja niku ignore kabisaamuwekee bibi yako
Sis wenyewe hatujui umri wao,wew twambie ni uwongo au ukweli?au nasema uongo ndugu zangu
kwan si alijiuzulu akaingia bashiruKinana alitaka kupumzika tangu magu alipoingia tu,magu akamgomea kujiuzulu akisoma barua yake mbele ya kamera za tv
Muwe mnazua mkiwa na data za kutosha
akuwekee hata wewe ulinzimada uandike wewe ukiungwa mkono matusi???????????? ngoja niku ignore kabisa
bye case closedakuwekee hata wewe ulinzi
ni kweli kabisaau nasema uongo ndugu zangu
Kwahiyo unataka kusema nini kuhusu Wasira,maana naona kama unazunguka hivi...Hawa wazee kila mtu aliondoka kwa kisingizio cha umri umekwenda vilele kama wale washauri wa mfalme nero walivyoondoka wanaomba wapumzike ukweli sio umri ila walishanusa uchafu utakao waangukia wakaona wamuachie Kikwete na Samia na vijana wao wachafuke wenyewe.
Kinana ni mzee kuliko wasira!?
Mangula na wasira wamepishana miaka mingapi!?
Huyo ni dereva wa malori ya kubeba nafaka? 🙄Hili taifa ni Vale Nafaka tu ndo ataliokoa na kuliponya. Na siyo Tanzania tu ataenda mbali hadi Israel na kuwapatanisha wateule na wapalestina. Isitoshe ataleta amani ya kudumu mashariki ya kati.
View attachment 3691346
MamaSamia2025
Ingia instagram.com andika vale Nafaka. Nakuahidi hutaacha kumpenda.Huyo ni dereva wa malori ya kubeba nafaka? 🙄
Du! Bahati mbaya sana sina account ya Instagram.Ingia instagram.com andika vale Nafaka. Nakuahidi hutaacha kumpenda.
Google Vale Nafaka pictures ujionee utukufu wa uumbaji wa Mungu.Du! Bahati mbaya sana sina account ya Instagram.
Ok niliishaiona Clip yake wakati fulani. 🙏Google Vale Nafaka pictures ujionee utukufu wa uumbaji wa Mungu.
JK aliwahi sema "tukiona anafaa tutampitisha ...."Samia amedhibitisha pasipo shaka kuwa yale maneno yake: "mimi siwezi. Lakini wakaniambia utaweza tu" yalikuwa sahihi kabisa.
Swali litabakia ni kina nani hao walikuwa wanamwambia "utaweza tu"