Sasa naelewa kwanini watu wenye akili kama mzee Mangula na Kinana walimtosa Samia. Kumbe waliona mbele ni giza

Limama limeharibu nchi. Halifai kbs.
 
Ila sisiem sii wa kuwatetea hata kidogo

Ni katika uongozi wa jiwe hiyo mangula alitegeshewa sumu ofisi ndogo lumumba

Jiwe na Kimama wote ni bure tu…
 
Daahh ila Mpango ndio kajua kupotea aisee. Kimyaaaaa utasema hayupo huyu mzee
nasikia kateuliwa kuwa Mshauri huko Magogoni!
Umewahi ona Raisi anajaza Ikulu Washauri, ina maana ni zero katika Kuongoza
 
nasikia kateuliwa kuwa Mshauri huko Magogoni!
Umewahi ona Raisi anajaza Ikulu Washauri, ina maana ni zero katika Kuongoza
Cha ajabu wakikutana kwenye vikao, yeye ndio anawashauri badala ya kupokea ushauri 😂😂
 
Kuna watu wanaweza kuona mbali kabla maafa hayajatokea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…