Sasa nahitaji ndoa kuliko kitu kingine chochote. Siwezi tena kusubiri

Yeye amekwambia sababu Ni kipato,Sasa wewe umembishia ndo useme kwanini hajaoa.?
Kuna mtu ka comment kuhusu expectation.

Huwezi kukaa kati Kati ya wanaume ukasema shida ni kipato.

Sema sikuwa tayari kuwa responsible.

kuna vijana wanauza matunda kwenye mikokoteni na wana familia, kuna vijana wanauza kacholi na Leeds wana familia, kuna vijana wanachoma kuku buguruni wana Mke na watoto.

mkuu miaka40? Ujaoa sababu kipato?

Atafute sababu nyingine labda aseme hakuamua na hakuwa tayari kuwa committed kwenye familia.
 
Duuu miaka 17 ameshaos ana hasira sanaa....atachoka mapema sana huyoo
Suala Zima la wanaume ni kukataa ile reaponsibility na commitment.

Kama anayo sababu nyingine mbali na kipato sawa, kama alisema tu sitaki kuoa sawa, kuna mtu kajibu vzur sana hapo juu kuhusu suala la expectations.

Kuna mshkaji alitoka kwao lindi akaja dar tena kwa magari ya kudanda akafikia machimbo ya mawe ya mzee limboa kapiga sana mawe, akapanga akaanza kununua vitu kidogo kidogo sahiv ana kibanda cha chips na Mke ndani.

Huyo hana elimu hata kidogo, suala zima ni kuwa na utayari kubeba majukumu.
 
piga goti sana tena mwenyewe muombe Mwenyezi Mungu sawa sawa na imani yako hadi akupe mke mwema na ukimpata umuulize kabisa Mungu ni huyu umenipa au ni hisia zangu , tamaa na mihemko ya kutaka kuoa, hakikisha unaongea na Mungu kuhusu kukupa mke mwema

usombewe wala usishauriwe na makasisi watakupoteza omba mwenyewe mbele za Mungu


Tofauti na hapo ndugu yangu KATAA NDOA.
 
Nimekuelewa mkuu na ndio maana nimekuwa na utayari sasa hivi, mengine yatabaki yamepita.
 
Noted with thanks 🙏
 
Mkuu huu mwaka unaisha kesho au labda umekosea?

Kila la heri.

Anza na cycle yako labda kuna anaekufaa...
Bado hamjatubu
Af kuna wenzako wengi tu kule wanajifanya team drone drake
Wengine wajeuri balaa
Ila iko siku tu 🤣 watakaa na kuona kitanda peke yao ni kama kulala juu ya paa
Hahahaha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…