Sasa nahitaji ndoa kuliko kitu kingine chochote. Siwezi tena kusubiri

Kama hauna pesa mjini achana na hio habari mwanamke ni pesa na pesa ni mwanamke labda ukaoe wa kupiga nae jembe kijijini
Labda kijijini mzee.
Maana akimpata atambiwa mahari ni 1.5M-2M.Sasa yeye ana ataoaje ?nahc ni mkristo maana angekuwa ndugu zetu waslaimu asingeshindwa.
 
Labda ukanunue robot la Elon musk
 
Wazazi wakutafutie kabinti hapo kijijini uoe
 

Mbona mwaka wenyewe ushaisha mzee au unataka miujiza ?
 
Uislam ndio ulikuja futa ujinga wenu wakuabudu Masanamu pale Makkah Al Mukarama, walikuwepo wajinga kama nyie, mnavyo liabudu like sanamu lakizungu eti Yesu, toka lini Yesu alikuwa vile lile sanamu limekaa kishoga shoga.

Eti uislam umeanzishwa na Vatican 😄 we kweli kichaa njoo tukupe mbuzi na kondoo ukachunge nyie siwachungaji tu.

Hilo jiwe Jeusi lilikuwa mbinguni we dogo unaelewa nini, lilikuwa jeupe likabadilika rangi kwa dhambi zilizopo dunia, haswa nyie mapagani mlipokuwa pale Makkah mlikuwa mkibeba masanamu 😄 hilo jiwe Aliliweka Nabii Ibrahim hapo Makkah kwa Amri ya Mungu.

Dini ya Kislam ni dini ya Mungu 💯 sio dini zenu zakujitungia.

Ukienda Makkah utaona wapi Nabii Ibrahim aliwawacha family yake ambaye ni mkewe Hajar na Mwanae Ismail.

Utaona kwanini Waislam wanachinja utafahamu history ya Nabii Ibrahim alipo ambiwa amchinje mwanae Ismail, badaye akambiwa achinje kondoo badale yake. hizo ni nguzo zote zipo kwenye Uislam nyie mmebaki kuimba kama walevi kanisani hamuoni kanisani wanawake wako uchi uchi tu, afu kwenye Christmas zenu harufu ya zina dunia nzima, na pombe hivyo ndivyo mnamtukuza Mungu wenu siku kazaliwa 😄
 
Marry above 30 utakuja kunishukuru baadae

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…