Sasa ndio nimeelewa kauli ya kusema nimesacrifice maisha yangu kwaajili ya Watanzania maskini



Sacrifice, Sadaka ni kujitoa kwa moyo wote kusaidia kulipigania Taifa lako, watu wote. Wanajeshi wanafanya hivyo.

Umeme na maji, barabara, reli ya kati, SGR, umeme wa kudumu.bwawa la rufiji, mikataba ya maana ya madini, elimu bure (watoto millioni kumi) hospitali vituo vya afya nchi nzima, nidhamu serikalini ndio maana ya Sadaka. Kujali watu wako, rasilimali zake na jinsi zinavyotumika kuwasaidia wengi.
 
hii kasumba mbaya sana ya kusifu na kuambudu ihali kiuhalisia watu bado wanateseka wakiogelea kwenye wimbi la umasikini may be alisacrifice for few elite (CCM) lakini sio kwa watanzania,
-Je aliwezesha kuzalisha ajira ngapi
-Uchumi wa mtu na taifa kwa ujumla ukoje
-Vipi utawala bora na haki za binadamu
-ni kwa kiasi gani sekta ya huduma za msingi/kijamii zimekua bora kwa watu wote
-Kwa kiasi gani tumeweza kujitegemea kama nchi na hali ya madeni na misaada toka nje
-suala la diplomasia na ushirikiano kimataifa tukoje
-hali ya sekta za kiuchumi na fedha
 
mkoloni mjerumani na mwingereza nao walijenga shule, barabara, miundombinu ya umeme na hata nidhamu serikalini ili kufanikisha maslahi yao
 
mkoloni mjerumani na mwingereza nao walijenga shule, barabara, miundombinu ya umeme na hata nidhamu serikalini ili kufanikisha maslahi yao


Pia walitoa elimu bure kwa wote na kusaidia maskini, umeme, hospitali kila sehemu, mikataba yao ilikuwa poa sana.
 
Kingine ulichosahau ni kutumia hela za umma kujenga uwanja wa ndege kwao kama alivyofanya dikteta Mobutu pamoja na kulazimisha viongozi wote wa juu kununua viwanja huko na kujenga majumba
 
Ni nchi hii Rais JK alishuhudia "kutia saini' na kuweka jiwe la msingi, baadae waziri anakuja na kusema haukuwa mkataba ili yalikuwa mazungumzo/makualiano.
Inabidi tufike mahali mawaziri kama Mwambe wawe wananyongwa hadharani. Bila hivyo huu ujinga utaendelea vizazi na vizazi.
 
Makamba tangu aingie TANESCO ni mwendo wa mikataba tu ... mama haelewi kinachoendelea akiamka kumekucha
Na lile bichwa km bundi,leo kwa waarabu ,kesho kwa wahindi keshokutwa Egypt mara inakuja yuko Ethiopia na muda si mrefu Rwanda kisha Mozambique.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…