Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwahiyo kunakundi dhuluma na kundi haqSpika wa Bunge Job Ndugai amemuagiza Katibu wa wabunge wa CCM Jasson Rweikiza kuitisha kikao cha kamati ya wabunge wa CCM (party caucus) kwasababu ndio mahali wanaweza kudhibitiana...
Prof Hasad aliita bunge Dhaifu.
Mama samia amesema bunge halina Afya.
NINGEKUWA SPIKA NINGEJITAFAKARI
Hakuna upinzani wowote utakaozaliwa humo ni habari yakutumia utumbo kufikiri.Kuna dalili zote za kuzaliwa upinzani ndani ya Bunge lisilo na upinzani. Mawazo mbadala hayaepukiki kwenye siasa!
Uchaguzi wa wabunge hufanyika kila baada ya miaka 5 na ni takwa la kikatiba na si uamuzi wa mtu binafsi.Kama Samia ana akili. Arudie uchaguzi wa Ubunge alaf wale team Magu awang’oe. Hiyo ndo solution
Naona umepakaza mafuta kundi la pili, acha ujinga wewe unawezaje kufuta legacy sasa?Mkuu wewe ulikuwa hujalijua hilo? Mbona thread nyingi tu hapa zinazungumzia hilo jambo?
HE!! BADO WANADEMKA!!!!Spika wa Bunge Job Ndugai amemuagiza Katibu wa wabunge wa CCM Jasson Rweikiza kuitisha kikao cha kamati ya wabunge wa CCM (party caucus) kwasababu ndio mahali wanaweza kudhibitiana.
Ndugai ameyasema hayo leo Jumatatu baada ya Mbunge wa Viti Maalum (CCM) Lucy Mayenga kudai kuwa kuna kundi la wabunge wa chama hicho ambalo linamsifia Rais Samia Suluhu Hassan kwa lengo la kudhoofisha alama zilizoachwa na Hayati Rais John Magufuli.
Ha ha ha! Hii picha imenikumbusha mbali. Aliyetoka jalalani akinywa dawa ya Covid waliyoagiza kutoka wapi vile?Tuchape kazi ndugu zangu sisi ni matajiri hii nchi imechezewa sana ...
View attachment 1756952
Kwa taarifa yako anaweza. Vipo vigezo vinavyoweza kumfanya avunje bunge na kuitisha uchaguzi. Soma vzr katiba hiyo ya miaka mitano ni kigezo kimoja wapo.Uchaguzi wa wabunge hufanyika kila baada ya miaka 5 na ni takwa la kikatiba na si uamuzi wa mtu binafsi...
Hivyo Rais hawezi vunja bunge kabla ya muhula...
Yeye mwenyewe Ndugai yupo kundi la Mwendazake. Hamkubali Rais Samia. Halafu wabunge wote wa kanda ya Ziwa kwa ukabila na ukanda wao wanaendelea kumlilia Mwendazake.Spika wa Bunge Job Ndugai amemuagiza Katibu wa wabunge wa CCM Jasson Rweikiza kuitisha kikao cha kamati ya wabunge wa CCM (party caucus) kwasababu ndio mahali wanaweza kudhibitiana.
Kwa taarifa yako anaweza. Vipo vigezo vinavyoweza kumfanya avunje bunge na kuitisha uchaguzi. Soma vzr katiba hiyo ya miaka mitano ni kigezo kimoja wapo.
Kifo hupisha uchunguziNchi imepata uhuru sasa, na jukwaa letu la mambo ya kikubwa lirudi. Dikteta is dead.