Sasa ni dhahiri kesi ya Mbowe imekaa vibaya. Mashahidi 24 na vielelezo 19 vya serikali si mchezo. Ni mkao wa kunyolewa

Kwa mashtaka yaliyosomwa leo tarehe 23 Agosti 2021 ni wazi serikali imejipanga ipasavyo kwa kesi hii ya Mbowe ya ugaidi.

Serikali kuwa mashahidi 24 na vielelezo 19 siyo mchezo. Sasa tunafahamu kwa nini IGP alilizungumzia hii kesi kwa kujiamini sana na kueleza kuwa Mbowe kama ni mkristo mkweli atawaeleza ukweli wafuasi wake. Yote kwa yote, mahakama ndicho chombo cha juu cha kutoa hukumu.

Kupitia hukumu hiyo tutajua ukweli wa jambo hili. Kwa hatua iliyofikia kesi hii, ni vyema sasa tuiache mahakama ifanye kazi yake. Mabango na kauli za kisiasa kutoka Chadema sasa siyo mahali pake. Bahati nzuri katiba za vyama vyote vya siasa vinasisitiza juu ya kutambua utawala wa kisheria ambapo masuala ya mahakamani yanaachwa kwa mahakama kuamua na siyo kuyaleta kwenye majukwaa ya kisiasa.

Tutaishangaza dunia ikiwa bado chama fulani kitaendelea na kuweka mashinikizo nje ya mahakama. Pamoja na kwamba shinikizo zenyewe hazina hata nguvu ya kufungua soda na haziwezi kubadili lolote kuhusu mwenendo wa hii kesi, bado ni bora tukaachana na kuonesha shinikizo hizo ambazo kwangu naziona ni za kitoto na zinazidi tu kuwadhalilisha wanaoziweka.

Court decisions are based on what the law says and what the evidence proves. There is no place in the courts for suspicion, bias or favouritism. Tuachane na hizo empty rhetoric
Unawaza kwa kutumia mazaburi!!??
 
Umeandika uchoqo tu
 
Hata vingikua 100, Kuna watu KAZI yao ni sheria , vitachambuliwa mbaka ibaki zero, watu watabaki kuangaliana KWA aibu,

Angalizo

Serikali inajitengenezea madeni makubwa huko twendako, ipo siku mtu atakuja kuomba 6 trion Kama fidia , ndenge zenu zikamatwe, alafu muanze kulia,
1: vingikua
2: mbaka
3: ndenge

Baadhi ya maneno ya kiswahili yenye asili ya Kandahar
 
Kwa mashtaka yaliyosomwa leo tarehe 23 Agosti 2021 ni wazi serikali imejipanga ipasavyo kwa kesi hii ya Mbowe ya ugaidi.

Serikali kuwa mashahidi 24 na vielelezo 19 siyo mchezo. Sasa tunafahamu kwa nini IGP alilizungumzia hii kesi kwa kujiamini sana na kueleza kuwa Mbowe kama ni mkristo mkweli atawaeleza ukweli wafuasi wake. Yote kwa yote, mahakama ndicho chombo cha juu cha kutoa hukumu.

Kupitia hukumu hiyo tutajua ukweli wa jambo hili. Kwa hatua iliyofikia kesi hii, ni vyema sasa tuiache mahakama ifanye kazi yake. Mabango na kauli za kisiasa kutoka Chadema sasa siyo mahali pake. Bahati nzuri katiba za vyama vyote vya siasa vinasisitiza juu ya kutambua utawala wa kisheria ambapo masuala ya mahakamani yanaachwa kwa mahakama kuamua na siyo kuyaleta kwenye majukwaa ya kisiasa.

Tutaishangaza dunia ikiwa bado chama fulani kitaendelea na kuweka mashinikizo nje ya mahakama. Pamoja na kwamba shinikizo zenyewe hazina hata nguvu ya kufungua soda na haziwezi kubadili lolote kuhusu mwenendo wa hii kesi, bado ni bora tukaachana na kuonesha shinikizo hizo ambazo kwangu naziona ni za kitoto na zinazidi tu kuwadhalilisha wanaoziweka.

Court decisions are based on what the law says and what the evidence proves. There is no place in the courts for suspicion, bias or favouritism. Tuachane na hizo empty rhetoric

Ila Mbowe na chadema wanawatia j*mba j*mba kweri kweri.

Mtapona vipi ugonjwa wa kihoro unaowakabili.
 
nimefarijika kusikia sabaya ataitwa mahakamani. yaani kuna ushahidi ulikusanywa na Sabaya ambaye sirikali inataka kumchinjilia mbali. Itabidi wamwachie Sabaya ili wamfunge mbowe kwa kesi ya kubumba au kesi ya mbowe itupwe wamshughulikie sabaya?!!
 
Mandela hakupa zero shule kama mbowe

USSR

..kwani Maza alipata division ngapi?

..huenda yeye alizungusha mapema kuliko makengeza.

..hii hoja za zero muiache kwasababu inaweza kumhusu hata Maza.

Cc tindo
 
Ku

Kuna mtu alishangilia kifo cha magufuli akachinja na mbuzi wakala na wapambe wake
Nasikia nae kafa usiku wa kuamkia leo,
Sasa najiuliza mbona hata muda haujaenda kwa nini afe sasa wakati alihisi ana mkataba na mungu?
Na ni wale wanazi wa chadema.
Mungu amjalie pumziko la milele

Sent from my TECNO KE5 using JamiiForums mobile app
 
Kama wanauwa na kutia watu kwenye viroba bila ya kujali kwa hilo la mboe usishangae, yaani upinzani unakazi sana maana jamaa wanatumia nguvu kubwa sana kuuzima upinzani
Hao hao Ndiyo wauaji we subiri.
 
Lakini mbona maswala ya uamsho yalikua yanaongelewa kwenye majukwaa ya siasa pia au hii ya Mbowe ina tozo?
 
Mbowe hawezi kuchomoka kwa sababu makando kando yake ni mengi. Alifikiri Serikali oops DPP hana ushahidi wakati wenzake walikuwa wanachukua ushahidi kwa muda mrefu na isitoshe sheria lazima ichukue mkondo wake. Maisha yake yale ya ujanja ujanja yamegonga mwamba.
Yule mwenzie alieomba escort ya mabalozi na yule alievuka mpaka kwa probox.
Wanaujua mchezo mzima.

Baada ya kifo cha yule waliomwona ni tishio kwao walitaka warudi ila machale yakawacheza.

Wote hao watatu ni washirika waje tu, wamalizane na Siro, maisha yaanze upya.
 
Mbowe lazima ale mvua. Lema mjanja alikimbia madeni na kesi ya ugaidi. Kwa sababu lema alikuwa jambazi so anajua kabisa kama kitu kimekaa vibaya.
Nakubaliana na wewe.

Madam alipohojiwa na Kikeke wa BBC, alisema uchunguzi dhidi ya Mbowe ulianza tangu september 2020. Inawezekana kabisa Lema alikuwa na yeye ni mshukiwa maana muda mwingi sana Lema alikuwa yuko na Mbowe kule Hai.

Baada ya uchaguzi kwisha, Lema akakimbia nchi kwa kisingizio cha kuhofia usalama wake. Inawezekana kabisa kama Lema asingekimbia leo hii angekuwa mshatakiwa namba mbili kwenye kesi hii ya ugaidi.

Sina uhakika, lakini kwa kuunganisha dots ninapata picha ya nini kinachoendelea.
 
Kuna watu humu watakaa kimya watafikiri wamebanwa na haja kama ya Tembo,,
Kesi nyingi za kupigwa kuisha kwake ni aibu,,
Nelson Mandela aifungwa karibu miongo mitatu
 
Kwa mashtaka yaliyosomwa leo tarehe 23 Agosti 2021 ni wazi serikali imejipanga ipasavyo kwa kesi hii ya Mbowe ya ugaidi.

Serikali kuwa mashahidi 24 na vielelezo 19 siyo mchezo. Sasa tunafahamu kwa nini IGP alilizungumzia hii kesi kwa kujiamini sana na kueleza kuwa Mbowe kama ni mkristo mkweli atawaeleza ukweli wafuasi wake. Yote kwa yote, mahakama ndicho chombo cha juu cha kutoa hukumu.

Kupitia hukumu hiyo tutajua ukweli wa jambo hili. Kwa hatua iliyofikia kesi hii, ni vyema sasa tuiache mahakama ifanye kazi yake. Mabango na kauli za kisiasa kutoka Chadema sasa siyo mahali pake. Bahati nzuri katiba za vyama vyote vya siasa vinasisitiza juu ya kutambua utawala wa kisheria ambapo masuala ya mahakamani yanaachwa kwa mahakama kuamua na siyo kuyaleta kwenye majukwaa ya kisiasa.

Tutaishangaza dunia ikiwa bado chama fulani kitaendelea na kuweka mashinikizo nje ya mahakama. Pamoja na kwamba shinikizo zenyewe hazina hata nguvu ya kufungua soda na haziwezi kubadili lolote kuhusu mwenendo wa hii kesi, bado ni bora tukaachana na kuonesha shinikizo hizo ambazo kwangu naziona ni za kitoto na zinazidi tu kuwadhalilisha wanaoziweka.

Court decisions are based on what the law says and what the evidence proves. There is no place in the courts for suspicion, bias or favouritism. Tuachane na hizo empty rhetoric
Sijui ccm huwa inaokota wapi majinga kama huyu mleta uzi, dooh!!!
 
Mbowe wana Dar wananjua kuanzia akiwa mtoto. Sasa Mbowe anajulikana kuliko Raisi, makamu na IGP pamoja ni ngumu kumpa kesi ya uzushi watu wakaiamini. Mbowe akienda chini ataenda na serikali nzima! watabaki kuongoza watu bila support.
 
Ku

Kuna mtu alishangilia kifo cha magufuli akachinja na mbuzi wakala na wapambe wake
Nasikia nae kafa usiku wa kuamkia leo,
Sasa najiuliza mbona hata muda haujaenda kwa nini afe sasa wakati alihisi ana mkataba na mungu?
Na ni wale wanazi wa chadema.
Kifo ni lazima kwa kiumbe chochote kilichozaliwa na mwanamke ni swala la mda tu ushangilie ya mwingine au lah kifo tumeumbiwa wanadamu
 
Back
Top Bottom