Leo wale wazungu wenu walikuja?Mwigulu alijiapiza kumfunga Lwakatare , tena alitengeneza hadi video Studio , leo muulize ule uchafu wake ulikoishia , ndio ije kuwa huu ugaidi wa laki 6 ?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Leo wale wazungu wenu walikuja?Mwigulu alijiapiza kumfunga Lwakatare , tena alitengeneza hadi video Studio , leo muulize ule uchafu wake ulikoishia , ndio ije kuwa huu ugaidi wa laki 6 ?
Kwa mashtaka yaliyosomwa leo tarehe 23 Agosti 2021 ni wazi serikali imejipanga ipasavyo kwa kesi hii ya Mbowe ya ugaidi.
Serikali kuwa mashahidi 24 na vielelezo 19 siyo mchezo. Sasa tunafahamu kwa nini IGP alilizungumzia hii kesi kwa kujiamini sana na kueleza kuwa Mbowe kama ni mkristo mkweli atawaeleza ukweli wafuasi wake. Yote kwa yote, mahakama ndicho chombo cha juu cha kutoa hukumu.
Kupitia hukumu hiyo tutajua ukweli wa jambo hili. Kwa hatua iliyofikia kesi hii, ni vyema sasa tuiache mahakama ifanye kazi yake. Mabango na kauli za kisiasa kutoka Chadema sasa siyo mahali pake. Bahati nzuri katiba za vyama vyote vya siasa vinasisitiza juu ya kutambua utawala wa kisheria ambapo masuala ya mahakamani yanaachwa kwa mahakama kuamua na siyo kuyaleta kwenye majukwaa ya kisiasa.
Tutaishangaza dunia ikiwa bado chama fulani kitaendelea na kuweka mashinikizo nje ya mahakama. Pamoja na kwamba shinikizo zenyewe hazina hata nguvu ya kufungua soda na haziwezi kubadili lolote kuhusu mwenendo wa hii kesi, bado ni bora tukaachana na kuonesha shinikizo hizo ambazo kwangu naziona ni za kitoto na zinazidi tu kuwadhalilisha wanaoziweka.
Court decisions are based on what the law says and what the evidence proves. There is no place in the courts for suspicion, bias or favouritism. Tuachane na hizo empty rhetoric
WalikuwepoLeo wale wazungu wenu walikuja?

Watoke wapi. Wamegundua serikali ina evidence ya kutoshaLeo wale wazungu wenu walikuja?
Huyu anayejiita wakili hana point yoyote ya maana. Ana bwabwaja tu. Hana tofauti na hoja za Mnyika.View attachment 1905429
1. Mashtaka ya kuchonga yamezaa kesi ya kuchonga..
2. Wanaowatuhumu wakawafanyia torturing ili wakili makosa na kusaini maelezo ya uongo
3. Sasa wamechonga mashahidi 19 au 24 wa uongo. Lakini Bahati mbayo kwao ni kuwa, wote watamwagwa kama maji tu....!!
We Ni kula kulala bure (k.k.b)Kwa mashtaka yaliyosomwa leo tarehe 23 Agosti 2021 ni wazi serikali imejipanga ipasavyo kwa kesi hii ya Mbowe ya ugaidi.
Serikali kuwa mashahidi 24 na vielelezo 19 siyo mchezo. Sasa tunafahamu kwa nini IGP alilizungumzia hii kesi kwa kujiamini sana na kueleza kuwa Mbowe kama ni mkristo mkweli atawaeleza ukweli wafuasi wake. Yote kwa yote, mahakama ndicho chombo cha juu cha kutoa hukumu.
Kupitia hukumu hiyo tutajua ukweli wa jambo hili. Kwa hatua iliyofikia kesi hii, ni vyema sasa tuiache mahakama ifanye kazi yake. Mabango na kauli za kisiasa kutoka Chadema sasa siyo mahali pake. Bahati nzuri katiba za vyama vyote vya siasa vinasisitiza juu ya kutambua utawala wa kisheria ambapo masuala ya mahakamani yanaachwa kwa mahakama kuamua na siyo kuyaleta kwenye majukwaa ya kisiasa.
Tutaishangaza dunia ikiwa bado chama fulani kitaendelea na kuweka mashinikizo nje ya mahakama. Pamoja na kwamba shinikizo zenyewe hazina hata nguvu ya kufungua soda na haziwezi kubadili lolote kuhusu mwenendo wa hii kesi, bado ni bora tukaachana na kuonesha shinikizo hizo ambazo kwangu naziona ni za kitoto na zinazidi tu kuwadhalilisha wanaoziweka.
Court decisions are based on what the law says and what the evidence proves. There is no place in the courts for suspicion, bias or favouritism. Tuachane na hizo empty rhetoric
Tanzania bwana! Unaweza kukuta huyu ndio DPP mwenyewe😚😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂Kwa mashtaka yaliyosomwa leo tarehe 23 Agosti 2021 ni wazi serikali imejipanga ipasavyo kwa kesi hii ya Mbowe ya ugaidi.
Serikali kuwa mashahidi 24 na vielelezo 19 siyo mchezo. Sasa tunafahamu kwa nini IGP alilizungumzia hii kesi kwa kujiamini sana na kueleza kuwa Mbowe kama ni mkristo mkweli atawaeleza ukweli wafuasi wake. Yote kwa yote, mahakama ndicho chombo cha juu cha kutoa hukumu.
Kupitia hukumu hiyo tutajua ukweli wa jambo hili. Kwa hatua iliyofikia kesi hii, ni vyema sasa tuiache mahakama ifanye kazi yake. Mabango na kauli za kisiasa kutoka Chadema sasa siyo mahali pake. Bahati nzuri katiba za vyama vyote vya siasa vinasisitiza juu ya kutambua utawala wa kisheria ambapo masuala ya mahakamani yanaachwa kwa mahakama kuamua na siyo kuyaleta kwenye majukwaa ya kisiasa.
Tutaishangaza dunia ikiwa bado chama fulani kitaendelea na kuweka mashinikizo nje ya mahakama. Pamoja na kwamba shinikizo zenyewe hazina hata nguvu ya kufungua soda na haziwezi kubadili lolote kuhusu mwenendo wa hii kesi, bado ni bora tukaachana na kuonesha shinikizo hizo ambazo kwangu naziona ni za kitoto na zinazidi tu kuwadhalilisha wanaoziweka.
Court decisions are based on what the law says and what the evidence proves. There is no place in the courts for suspicion, bias or favouritism. Tuachane na hizo empty rhetoric
Hii itawatafuna hadi CCM wanaochafua legacy yakeLaana ya kushangilia kifo cha Magufuli
Sikuwahi kuwaza sababu ya lema kutimkia kenya hasa baada ya kushindwa uchaguzi, sasa naanza kuconnect dotsMbowe lazima ale mvua. Lema mjanja alikimbia madeni na kesi ya ugaidi. Kwa sababu lema alikuwa jambazi so anajua kabisa kama kitu kimekaa vibaya.
Hadi mashahidi wote watoe ushahidi utakuta mbowe kashafika umri wa kustaafuHuo utitiri wa mashaidi ndio utakaoivuruga hiii kesi
Mnavotoaga mishipa ya shingo kumuita mwendazake dikteta, ndio mnatumia nguvu hiyohiyo kumtetea Gaidi Mbowe. Muwe na uvumilivu, siasa haihitaji hasira.Mwigulu alijiapiza kumfunga Lwakatare , tena alitengeneza hadi video Studio , leo muulize ule uchafu wake ulikoishia , ndio ije kuwa huu ugaidi wa laki 6 ?
haujulikani unaitetea ccm au unatetea sukuma gangMnavotoaga mishipa ya shingo kumuita mwendazake dikteta, ndio mnatumia nguvu hiyohiyo kumtetea Gaidi Mbowe. Muwe na uvumilivu, siasa haihitaji hasira.
Aisee..ninadhani ni ukosefu wa maadili ndio inatuathiri watz. mtu unaanzaje kufanya sherehe kushangilia kifo cha mwenzako ? Mungu amsamehe madhambi yake na awafariji familia yake kwa msiba huu.Ku
Kuna mtu alishangilia kifo cha magufuli akachinja na mbuzi wakala na wapambe wake
Nasikia nae kafa usiku wa kuamkia leo,
Sasa najiuliza mbona hata muda haujaenda kwa nini afe sasa wakati alihisi ana mkataba na mungu?
Na ni wale wanazi wa chadema.
Kwa mashtaka yaliyosomwa leo tarehe 23 Agosti 2021 ni wazi serikali imejipanga ipasavyo kwa kesi hii ya Mbowe ya ugaidi.
Serikali kuwa mashahidi 24 na vielelezo 19 siyo mchezo. Sasa tunafahamu kwa nini IGP alilizungumzia hii kesi kwa kujiamini sana na kueleza kuwa Mbowe kama ni mkristo mkweli atawaeleza ukweli wafuasi wake. Yote kwa yote, mahakama ndicho chombo cha juu cha kutoa hukumu.
Kupitia hukumu hiyo tutajua ukweli wa jambo hili. Kwa hatua iliyofikia kesi hii, ni vyema sasa tuiache mahakama ifanye kazi yake. Mabango na kauli za kisiasa kutoka Chadema sasa siyo mahali pake. Bahati nzuri katiba za vyama vyote vya siasa vinasisitiza juu ya kutambua utawala wa kisheria ambapo masuala ya mahakamani yanaachwa kwa mahakama kuamua na siyo kuyaleta kwenye majukwaa ya kisiasa.
Tutaishangaza dunia ikiwa bado chama fulani kitaendelea na kuweka mashinikizo nje ya mahakama. Pamoja na kwamba shinikizo zenyewe hazina hata nguvu ya kufungua soda na haziwezi kubadili lolote kuhusu mwenendo wa hii kesi, bado ni bora tukaachana na kuonesha shinikizo hizo ambazo kwangu naziona ni za kitoto na zinazidi tu kuwadhalilisha wanaoziweka.
Court decisions are based on what the law says and what the evidence proves. There is no place in the courts for suspicion, bias or favouritism. Tuachane na hizo empty rhetoric
View attachment 1905429
1. Mashtaka ya kuchonga yamezaa kesi ya kuchonga..
2. Wanaowatuhumu wakawafanyia torturing ili wakili makosa na kusaini maelezo ya uongo
3. Sasa wamechonga mashahidi 19 au 24 wa uongo. Lakini Bahati mbayo kwao ni kuwa, wote watamwagwa kama maji tu....!!
Eboo!! Mkuu unasema kweli?Ku