4 7mbatizaji
JF-Expert Member
- Dec 8, 2019
- 8,406
- 9,619
Kwa iyo unataka kusemaje ,Kama hukuelewa si unapita, shamba sana1: vingikua
2: mbaka
3: ndenge
Baadhi ya maneno ya kiswahili yenye asili ya Kandahar
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa iyo unataka kusemaje ,Kama hukuelewa si unapita, shamba sana1: vingikua
2: mbaka
3: ndenge
Baadhi ya maneno ya kiswahili yenye asili ya Kandahar
Tuanzie na sababu ya mtu kufurahia wewe ukifa, wakati akifa mwingine watu wanalia sana?? Hivi kwa nini kwenye dini tunaambiwa kuna watakaoenda peponi na kuna watakaoenda motoni??Aisee..ninadhani ni ukosefu wa maadili ndio inatuathiri watz. mtu unaanzaje kufanya sherehe kushangilia kifo cha mwenzako ? Mungu amsamehe madhambi yake na awafariji familia yake kwa msiba huu.
Wingi wa MASHAHIDI Wingi wa Vielelezo Sio Ukubwa au Ugumu wa Kesi Kama Hujui Sheria kaa kandoKwa mashtaka yaliyosomwa leo tarehe 23 Agosti 2021 ni wazi serikali imejipanga ipasavyo kwa kesi hii ya Mbowe ya ugaidi.
Serikali kuwa mashahidi 24 na vielelezo 19 siyo mchezo. Sasa tunafahamu kwa nini IGP alilizungumzia hii kesi kwa kujiamini sana na kueleza kuwa Mbowe kama ni mkristo mkweli atawaeleza ukweli wafuasi wake. Yote kwa yote, mahakama ndicho chombo cha juu cha kutoa hukumu.
Kupitia hukumu hiyo tutajua ukweli wa jambo hili. Kwa hatua iliyofikia kesi hii, ni vyema sasa tuiache mahakama ifanye kazi yake. Mabango na kauli za kisiasa kutoka Chadema sasa siyo mahali pake. Bahati nzuri katiba za vyama vyote vya siasa vinasisitiza juu ya kutambua utawala wa kisheria ambapo masuala ya mahakamani yanaachwa kwa mahakama kuamua na siyo kuyaleta kwenye majukwaa ya kisiasa.
Tutaishangaza dunia ikiwa bado chama fulani kitaendelea na kuweka mashinikizo nje ya mahakama. Pamoja na kwamba shinikizo zenyewe hazina hata nguvu ya kufungua soda na haziwezi kubadili lolote kuhusu mwenendo wa hii kesi, bado ni bora tukaachana na kuonesha shinikizo hizo ambazo kwangu naziona ni za kitoto na zinazidi tu kuwadhalilisha wanaoziweka.
Court decisions are based on what the law says and what the evidence proves. There is no place in the courts for suspicion, bias or favouritism. Tuachane na hizo empty rhetoric
Mbona lakini tuliambiwa Dpp atakoma kwani chadema kimetoa mawakili 380? Huo wingi haukuwa na tija na mantiki?Wingi wa MASHAHIDI Wingi wa Vielelezo Sio Ukubwa au Ugumu wa Kesi Kama Hujui Sheria kaa kando
Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app
Dah nimesoma kidoogo aya kwa aya...huu sio ugoro ni upuuzi kutoka kwa
Mi nadhani ungeufanyia kazi kuliko kuupuuza huu ugolo Kama unavyouita.baada ya muda utajua ni ugolo au si ugolo.mzaha mzaha hutumbua ....puss!Sijasoma huu ugolo maana nina uhakika ni ugolo 100%
Kati ya hao mashahidi 24,wangapi ni maponyii...??Mashahidi 24 jaribu kupiga hesabu watamaliza lini kutoa ushahidi!kama sio 2025
maponyii ndio nini!!?Kati ya hao mashahidi 24,wangapi ni maponyii...??
Bora umekataa kusoma maana ni UJINGA mtupu ameandikaSijasoma huu ugolo maana nina uhakika ni ugolo 100%
Kuwa na mashahidi 23 na vielelezo 19 siyo sawa na kusema kesi imeelemea upande wa fulani. Kuna baadhi ya kesi Jamhuri inaweza kuwa na mashahidi na mshtakiwa kutokuwa na shahidi yeyote na still ushindi ukawa upande wa mshtakiwa. Kinachotakiwa kwenye kesi ni the weight of evidence and persuasion.Kwa mashtaka yaliyosomwa leo tarehe 23 Agosti 2021 ni wazi serikali imejipanga ipasavyo kwa kesi hii ya Mbowe ya ugaidi.
Serikali kuwa mashahidi 24 na vielelezo 19 siyo mchezo. Sasa tunafahamu kwa nini IGP alilizungumzia hii kesi kwa kujiamini sana na kueleza kuwa Mbowe kama ni mkristo mkweli atawaeleza ukweli wafuasi wake. Yote kwa yote, mahakama ndicho chombo cha juu cha kutoa hukumu.
Kupitia hukumu hiyo tutajua ukweli wa jambo hili. Kwa hatua iliyofikia kesi hii, ni vyema sasa tuiache mahakama ifanye kazi yake. Mabango na kauli za kisiasa kutoka Chadema sasa siyo mahali pake. Bahati nzuri katiba za vyama vyote vya siasa vinasisitiza juu ya kutambua utawala wa kisheria ambapo masuala ya mahakamani yanaachwa kwa mahakama kuamua na siyo kuyaleta kwenye majukwaa ya kisiasa.
Tutaishangaza dunia ikiwa bado chama fulani kitaendelea na kuweka mashinikizo nje ya mahakama. Pamoja na kwamba shinikizo zenyewe hazina hata nguvu ya kufungua soda na haziwezi kubadili lolote kuhusu mwenendo wa hii kesi, bado ni bora tukaachana na kuonesha shinikizo hizo ambazo kwangu naziona ni za kitoto na zinazidi tu kuwadhalilisha wanaoziweka.
Court decisions are based on what the law says and what the evidence proves. There is no place in the courts for suspicion, bias or favouritism. Tuachane na hizo empty rhetoric
Kuna uwezekano wa baadhi ya mashahidi kusahau script verse zao na Mh.Mbowe akanusurika dhisi ya watesi wake.Huo utitiri wa mashaidi ndio utakaoivuruga hiii kesi
Sorry nimetumia lugha ya Ara chuga...Maponyii ni cops au maaskari...maponyii ndio nini!!?
Itabidi mtumie mabavu ili kulazimisha hukumu muitakayo. Ushahidi mliyo nao mpaka sasa ni porojo kama za watoto.Kwa mashtaka yaliyosomwa leo tarehe 23 Agosti 2021 ni wazi serikali imejipanga ipasavyo kwa kesi hii ya Mbowe ya ugaidi.