Sasa ni dhahiri kesi ya Mbowe imekaa vibaya. Mashahidi 24 na vielelezo 19 vya serikali si mchezo. Ni mkao wa kunyolewa

Mwigulu alijiapiza kumfunga Lwakatare , tena alitengeneza hadi video Studio , leo muulize ule uchafu wake ulikoishia , ndio ije kuwa huu ugaidi wa laki 6 ?
Leo wale wazungu wenu walikuja?
 
Your browser is not able to display this video.

1. Mashtaka ya kuchonga yamezaa kesi ya kuchonga..

2. Wanaowatuhumu wakawafanyia torturing ili wakili makosa na kusaini maelezo ya uongo

3. Sasa wamechonga mashahidi 19 au 24 wa uongo. Lakini Bahati mbayo kwao ni kuwa, wote watamwagwa kama maji tu....!!
 
Reactions: BAK

Umesahau 600,000 😂😂😂
 
Huyu anayejiita wakili hana point yoyote ya maana. Ana bwabwaja tu. Hana tofauti na hoja za Mnyika.
 
We Ni kula kulala bure (k.k.b)
 
Tanzania bwana! Unaweza kukuta huyu ndio DPP mwenyewe😚😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
 
Mbowe lazima ale mvua. Lema mjanja alikimbia madeni na kesi ya ugaidi. Kwa sababu lema alikuwa jambazi so anajua kabisa kama kitu kimekaa vibaya.
Sikuwahi kuwaza sababu ya lema kutimkia kenya hasa baada ya kushindwa uchaguzi, sasa naanza kuconnect dots
 
Mwigulu alijiapiza kumfunga Lwakatare , tena alitengeneza hadi video Studio , leo muulize ule uchafu wake ulikoishia , ndio ije kuwa huu ugaidi wa laki 6 ?
Mnavotoaga mishipa ya shingo kumuita mwendazake dikteta, ndio mnatumia nguvu hiyohiyo kumtetea Gaidi Mbowe. Muwe na uvumilivu, siasa haihitaji hasira.
 
Mnavotoaga mishipa ya shingo kumuita mwendazake dikteta, ndio mnatumia nguvu hiyohiyo kumtetea Gaidi Mbowe. Muwe na uvumilivu, siasa haihitaji hasira.
haujulikani unaitetea ccm au unatetea sukuma gang
 
Aibu..,Hii ni Moja Ya Kesi Ya Kipuuzi Sana kuwahi kutokea Tanzania
...Niulizeni baadaye.,
 
Ku

Kuna mtu alishangilia kifo cha magufuli akachinja na mbuzi wakala na wapambe wake
Nasikia nae kafa usiku wa kuamkia leo,
Sasa najiuliza mbona hata muda haujaenda kwa nini afe sasa wakati alihisi ana mkataba na mungu?
Na ni wale wanazi wa chadema.
Aisee..ninadhani ni ukosefu wa maadili ndio inatuathiri watz. mtu unaanzaje kufanya sherehe kushangilia kifo cha mwenzako ? Mungu amsamehe madhambi yake na awafariji familia yake kwa msiba huu.
 
I hope ulijiandaa kisaikolojia. Nyuzi za aina hii kule Ufipa hazivumiliki. Lazima nyumbu wameshapewa order ya kutumia nuclear bombs!
 
Nimesikitika mno na tumeshachelewa kila la heri Mbowe Mungu akusaidie ila Tumechelewa
 
Ugaidi wa sh. Laki sita 🤣🤣🤣

Mataga pori hebu kuweni serious bana.
 
Reactions: BAK
Hakuna kesi zaidi ya upumbavu na udikteta vinazidi kutamalaki nchi hii.
 
Ku

Kuna mtu alishangilia kifo cha magufuli akachinja na mbuzi wakala na wapambe wake
Nasikia nae kafa usiku wa kuamkia leo,
Sasa najiuliza mbona hata muda haujaenda kwa nini afe sasa wakati alihisi ana mkataba na mungu?
Na ni wale wanazi wa chadema.
Eboo!! Mkuu unasema kweli?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…