Viongozi wa Simba kama wamelogwa uchebe walimtoa fasta kwa sababu za kipumbavu huyu kocha anashusha viwango vya wachezaji wanamchekea au ni kocha wa bei rahisi watakapokuja kushituka tayari kutakuwa na madhara makubwa.
Omog aliachwa sababu kuu Simba ilikuwa ikicheza mchezo wa kujilinda, Basena wa Uganda aliachwa sababu hiyohiyo