Sasa Ni Dhahiri Kocha wa Simba hampendi Kagere!

Sasa Ni Dhahiri Kocha wa Simba hampendi Kagere!

Viongozi wa Simba kama wamelogwa uchebe walimtoa fasta kwa sababu za kipumbavu huyu kocha anashusha viwango vya wachezaji wanamchekea au ni kocha wa bei rahisi watakapokuja kushituka tayari kutakuwa na madhara makubwa.
Omog aliachwa sababu kuu Simba ilikuwa ikicheza mchezo wa kujilinda, Basena wa Uganda aliachwa sababu hiyohiyo
 
Naona kelele zetu zimesaidia leo,Kagere na Kahata wanaanza....😂
 
Back
Top Bottom