Sasa ni dhahiri Maandamano ya CHADEMA yanafuatiliwa na kila Mtanzania

M mbona ata siyajui ayo maandamano ?

Ndoto za Ali nacha ndo wanazo chadomo
 
Ndio shida ya CDM kuishi kwenye lala land.

Tatizo zaidi baada ya kujiaminisha huu upuuzi uliopo kwenye vichwa vyao. Hata pale ambapo ushahidi upo wazi hawana mvuto.

Sasa shangaa mbele wataenda kutumia nadharia za upuuzi wao wanakubalika wakiambiwa kufanya siasa bila ya kutunga uongo.
 
Hahahaaaaa

Wamekosa agenda

Wiki hii wanadai nini
Wewe katika maisha yako uliwahi kukaa kwa kutulia baada ya kushiba uyoga na kujiuliza kiundani,ajenda ni nini?Kwenye maisha yako uliwahi kuwa na ajenda au unasubiri wenye akili wakuletee ajenda?Uwe unajituliza kama kasuku anakula pilipili kwenye mambo ya watu wazima!
 
Ukiulizwa ueleze ulichokiandika kina maana gani utaweza?Hueleweki!
 
Ongezamo maswali ya maana ili nikujibu

Na Bado hujasema…..
 
Ukiulizwa ueleze ulichokiandika kina maana gani utaweza?Hueleweki!
Mpaka huruma yaani sasa hivi CDM inafanya marudio ya kuzunguka miji mikuu, kuchokoza serikali wapewe njia za biashara, siku za kazi, wakitegemea kuamasha vurugu, jeshi la polisi lizuie fujo, watoe lawama.

Mbinu ovyo za CDM zimeboma, watanzania washajua CDM ni genge la wahuni tu.

Watu kwa wingi wao wala hawana habari, washawajua CDM ni magumashi. Kilichobaki ni kuja kwenye social media na kujijaza upepo.
 
Mpaka huruma yaani sasa hivi CDM inafanya marudio ya kuzunguka miji mikuu, njia za biashara, siku za kazi, ikitetegemea kuamasha vurugu.

Watanzania wala hawana habari, washawajua magumashi.
Huruma uliwasaidia kutembea?Sampuli yako ni wale ma-hopelesses wanaosubiri wenzao watawaletea nini huku wao wamejibweteka kama wagonjwa wa safura.
 
BANGI ZA ASBH
 
Uliza kama ni sheria kuwapa au ni ihsani?Unaumia wao kutumia ruzuku halali halafu hujishughulushi kwa wezi waibao mali za umma?Bata mzinga!
huyo tahira nimeacha na kumjibu, kajaa kamasi kichwani. Nilikuwa nasubir ajibu hili swali na nimeshangaa mtu mwenye pumbu kamili kabisa kuuliza swali kama aliloulizašŸ˜‚ ! ndio maana nikasema vichaa hawaishi ni pamoja na huyo jamaa uliyemjibu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…