Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 43,960
- 77,533
Umekomenti kama umempa kichwa chako mtoto wako wa darasa lapili aende nacho shuleni.Hivi Tanzania hapa Kuna ugumu wa Maisha? Tusaidienk kujua huo ugumu upo angle ipi ikiwa misosi na vifaa vya ujenzi bei ni bwerere
Nisaidie kujibu huo ugumu wa Maisha upo wapi? Je ni bei za vyakula au vifaa vya ujenzi? Au ada za shule?Umekomenti kama umempa kichwa chako mtoto wako wa darasa lapili aende nacho shuleni.
Kukujibu hilo swali huna budi ukifuate kichwa chako shuleni kwanza.Nisaidie kujibu huo ugumu wa Maisha upo wapi? Je ni bei za vyakula au vifaa vya ujenzi? Au ada za shule?
🚮🚮🚮 Huna majibu ndio maana unakwepa 😁😁😁😁Kukujibu hilo swali huna budi ukifuate kichwa chako shuleni kwanza.
Hivi,kweli wewe ni wa kuuliza kama Tanzania kuna umasikini au shida?Na ukipewa majibu nusu kaputi utajinunisha?Na haujui kama kuna watu wapo kwenye vikundi vya TASAF?🤔🚮🚮🚮 Huna majibu ndio maana unakwepa 😁😁😁😁
Ndio maana Huwa nawaambia muwe mnawakamata wajinga,Mimi sio rahisi.Mfani angalia bei za bandonya bati imeshuka kutoka 360k(2020) Hadi 320-350k 2024👇👇View attachment 2977167View attachment 2977168
Kuiba uibe halafu ujitwike haki ya kukataza muibiwaji kusema?Itafahamika ikifika kipindi cha kwhiyooo tumeibiwaaaaaaaa!
Nani kakatazwa kusema umetiwa mdomo kufuli umefungwa vidole usi-type!Kuiba uibe halafu ujitwike haki ya kukataza muibiwaji kusema?
Kitendo cha kuandika..."tumeibiwa"...ni ironic kwako kueleza ambavyo huwa hupendi waseme.Unataka wasiseme,wasiandike,wasitende bali watulie tu.Nani kakatazwa kusema umetiwa mdomo kufuli umefungwa vidole usi-type!
Wala usiyasingizie maandamano kuhusu bunge.Bunge lililopo ni bunge hewa.Halijulikani wala kueleweka sembuse kufuatiliwa!Hatuwezi kuzuia maandamano kwa kujidai kuwa tutashindwa kufuatilia kitu kisichofuatilika.Kufanya maandamano kipindi hiki cha Bunge la bajeti ni kama siasa chafu tu maana huko wanapitisha wanayojua wenyewe. Tena wanajua wananchi wako busy na maandamo ndo wanachapa mwendo tu.
Kwa sasa kujua habar za bunge ni hadi uzitafute sana. Inahuzunisha sana.
Na ukimshauri akalazwe wadi ya walio na mawazo mengi (insanes) ili apatiwe uangalizi mzuri atachukia.Hana jema.
Sijawahi wala kujiaminisha kwamba mlevi atakuja kusema kwa hiyari yake kwamba amelewa.Au kichaa kama wewe ujikubali ukichaa wako.😂😂😂😂😂
Tundu Lissu bana.
Umejaribu kuumpa huo Ushauri?
Alisemaje?
Eti anaenda CHATO kuwasemea CCM😂😂😂😂😂😂
Hahahaaaaa
😂😂😂😂
Wamekosa agenda
Chama cha Uharakati agenda yao ni ku disrupt tu👉🏾 Wasubiri nusu mkate watulie. Shs 2.7 billion inawatia ukichaa😌
Wiki hii wanadai nini
Wachina ndio Tatizo letu🤔🤷🏾♂️
Hiyo ni tahadhari kwa mazingira yaliopo na nauna muitikio ni mdogo sana kwa wananchi juu ya hayo matembezi yenu hakuna aliyekuzuia kusema mbona kila uchaguzi mnasema hivyo halafu hamkomi!Kitendo cha kuandika..."tumeibiwa"...ni ironic kwako kueleza ambavyo huwa hupendi waseme.Unataka wasiseme,wasiandike,wasitende bali watulie tu.
Ndiyo utulie na uyafuatilie.Ingawa utajidai huyafuatilii ila ukiulizwa walisema nini utajieleza kwa ufasaha kabisa.Hiyo ni tahadhari kwa mazingira yaliopo na nauna muitikio ni mdogo sana kwa wananchi juu ya hayo matembezi yenu hakuna aliyekuzuia kusema mbona kila uchaguzi mnasema hivyo halafu hamkomi!
Sijawahi wala kujiaminisha kwamba mlevi atakuja kusema kwa hiyari yake kwamba amelewa.Au kichaa kama wewe ujikubali ukichaa wako.
Sijawahi na sitowahi hayana tija nenda kanywe uji na mafenesi!Ndiyo utulie na uyafuatilie.Ingawa utajidai huyafuatilii ila ukiulizwa walisema nini utajieleza kwa ufasaha kabisa.
Ungekuwa una akili ya kuitambua hoja ungetulia kama unabugia pilipili.Bora CHADEMA wamempatia mtu mwingine kazi ya kuitetea.
😌
Huna hoja bwashee.
Wakati unachangia na hoja za sledi?Umevimbiwa chai kwa matembele wewe!🤣🤣🤣Sijawahi na sitowahi hayana tija nenda kanywe uji na mafenesi!
Ungekuwa una akili ya kuitambua hoja ungetulia kama unabugia pilipili.