Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 49,390
- 152,301
Kalaga baho!Mi nilitegemea utoe ushahidi wa kuwepo kwa hayo makundi, kumbe ni porojo tu!
Kwa akili zake anadhani anaweza kupanda juu ya mti mrefu na kuyaona hayo makundi yalivyogawanyika.Muhurumie.Ndiyo akili zao zilipogota.ππππKalaga baho!
Halafu leo wako wapi?Aliwamaliza?Na je,ndiyo walikuwa wahuni halisi au vivuli vya wahuni?Kiongozi shupavu waga hana kisingizio.
Mbona JPM alihujumiwa na mawaziri wake akina January,Nape.
Ila aliwashugulikia.
Walimjumu kwa lipi we kilaza... hebu toa mfanoKiongozi shupavu waga hana kisingizio.
Mbona JPM alihujumiwa na mawaziri wake akina January,Nape.
Ila aliwashugulikia.
Tuombe uzima.Tunaweza kushuhudia wahuni wanatembea soko la kijiji saa sita mchana bila nguo yoyote miilini mwao zaidi ya saa za "disco" mikononi au shanga viunoni.πππππAcha yachaniane nguo hadharani
Ni kweli Samia hawezi kuiongoza Tanzania ndiyo maana sasa anakuwa katibu mwenezi wa Chadema kulaumu kila kitu ati ni brother Magufuli wakati Magufuli ndiye aliyeanzisha miradi na kazi zote kubwa anazopita kumlaumuMi nilitegemea utoe ushahidi wa kuwepo kwa hayo makundi, kumbe ni porojo tu!
Samia kaanza kutukana mawaziri kwa kuwageuzia kibao kama vile kwenye uingizaji wa sukari toka nje waziri mkuu na waziri wa kilimo waliosema NO they are nuisence hilo ni tusi,,, Mkenda na Majaliwa wana damu ya uzalewndo siyo upigajiNi propaganda nyingine iliyoanzishwa ili kutetea mambo ambayo utawalanwa sasa utashindwa kuyatimiza kwa kisingizio cha kuhujumiwa.
Ikumbukwe kuwa kasumba hii ipo siku nyingi, lakini wanaoumia siyo watawala bali wananchi ambao nao kwa kutojua wanashabikia propaganda hizo.
Kama siyo panic ni kulewa madaraka.Samia kaanza kutukana mawaziri kwa kuwageuzia kibao kama vile kwenye uingizaji wa sukari toka nje waziri mkuu na waziri wa kilimo waliosema NO they are nuisence hilo ni tusi,,, Mkenda na Majaliwa wana damu ya uzalewndo siyo upigaji
Nape alimhjumu nini mwendazake? π³Kiongozi shupavu waga hana kisingizio.
Mbona JPM alihujumiwa na mawaziri wake akina January,Nape.
Ila aliwashugulikia.
Ushahidi gani tena unataka wakati rais mwenyewe kakiri kuna makundi kwenye serikali ya CCM.Mi nilitegemea utoe ushahidi wa kuwepo kwa hayo makundi, kumbe ni porojo tu!