Sasa ni dhahiri ndani ya CCM kuna kundi la Rais Samia na la Hayati Magufuli

Sasa ni dhahiri ndani ya CCM kuna kundi la Rais Samia na la Hayati Magufuli

Salary Slip

Platinum Member
Joined
Apr 3, 2012
Posts
49,390
Reaction score
152,301
Huu ndio ukweli ulio wazi ingawa CCM wenyewe hawawezi kukiri hadharani. Kuna hatari ya kundi la Mwendazake kutaka kumuhujuma Mama na mnyukano huu unalenga uchaguzi wa 2025.

Hata hivyo, kundi la Mwendazake wajue tu kwa katiba hii mbovu, hakuna wataloweza na ninachowashauri waungane na wapinzani kudai katiba mpya vinginevyo wataishia kupiga kelele tu.

Kuna dalalili Rais Samia kachoka kuwavumilia na sasa kaamua kuanza kuanika madidu ya awamu iliopita lengo ni kuthibitisha hata awamu iliopita kulikuwa na wizi na ufisadi.

Ngoma inogile.
 
Vipi umekurupuka sasa baada ya kumaliza kufua boxer za Amsterdam
 
Ni propaganda nyingine iliyoanzishwa ili kutetea mambo ambayo utawala wa sasa utashindwa kuyatimiza kwa kisingizio cha kuhujumiwa.

Ikumbukwe kuwa kasumba hii ipo siku nyingi, lakini wanaoumia siyo watawala bali wananchi ambao nao kwa kutojua wanashabikia propaganda hizo.
 
Acha yachaniane nguo hadharani
Tuombe uzima.Tunaweza kushuhudia wahuni wanatembea soko la kijiji saa sita mchana bila nguo yoyote miilini mwao zaidi ya saa za "disco" mikononi au shanga viunoni.😝😝😝😝😝
 
CCM ni kama kundi la wachawi....usiku ukiwafumania kwenye ngoma zao lazima wadeal na wewe...japo wenyewe kwa wenyewe wanaweza kuwa walikuwa wanapigana..

leo unaweza kuona CCM wanaparuana lakini 2025 kwenye uchaguzi utawashangaa...na ukileta za kuleta wanakutosa majini...
 
Mi nilitegemea utoe ushahidi wa kuwepo kwa hayo makundi, kumbe ni porojo tu!
Ni kweli Samia hawezi kuiongoza Tanzania ndiyo maana sasa anakuwa katibu mwenezi wa Chadema kulaumu kila kitu ati ni brother Magufuli wakati Magufuli ndiye aliyeanzisha miradi na kazi zote kubwa anazopita kumlaumu
Samia kaenda Misri kuchimba kaburi la mradi wa Rufiji kamuweka January Makamba hapo mhamasishaji wa porojo za kufungulia upigaji amechupalia bandari ya Bagamoyo ili liwe chaka la upigaji,, Watatuambiaje mradi wa Bagamoyo mkataba haukusainiwa wakati jiwe la msingi liliwekwa?? Crane ya kunyanyulia milango ya kuzuia maji kwenyee bypass huko Rufiji huenda zikaletwa August next year,,, crane crane crane ni kitu kidogo sana ila mnafanywa wajinga
mkataeni huyu raisi kwa sauti kuybwa kwani mnarudi nyuma na mtapigwa vibaya sana kwani leo hata barabara ya km15 ya lami hawezi kuisemea ati akakope WORLD BANK
 
Ni propaganda nyingine iliyoanzishwa ili kutetea mambo ambayo utawalanwa sasa utashindwa kuyatimiza kwa kisingizio cha kuhujumiwa.

Ikumbukwe kuwa kasumba hii ipo siku nyingi, lakini wanaoumia siyo watawala bali wananchi ambao nao kwa kutojua wanashabikia propaganda hizo.
Samia kaanza kutukana mawaziri kwa kuwageuzia kibao kama vile kwenye uingizaji wa sukari toka nje waziri mkuu na waziri wa kilimo waliosema NO they are nuisence hilo ni tusi,,, Mkenda na Majaliwa wana damu ya uzalewndo siyo upigaji
 
Hahahahaaaa.Makamu wa Rais huwa kazi yake ni IPI?awamu ya tano na ya 6 ni kitu kimoja.ilani chama ni ile ile.na alishiriki kuinadi.kusema kweli Rais ana kazi ngumu ya urais kwa sababu yuko na watu ambao hakuwanadi kipindi cha kampeni.ushauri ni kwamba akitaka kumaliza awamu hii kwa amani atekelezi ilani ya CCM iliyonadiwa 2020 na miradi iliyoanzishwa na awamu ya Tano.Asipende kuanzisha vyake na kujaribu kumpinga hayati JPM wakati anafahamu fika alikuwa mshauri wake.kuna kitu tunakiita Autoinoculation. Asipokuwa makini atajimaliza mwenyewe.kuna watu wabaya wakitaka kummaliza kisiasa wanaweza kutumia hata kifo cha mtangukizi wake.usimwamshe simba aliyelala
 
Samia kaanza kutukana mawaziri kwa kuwageuzia kibao kama vile kwenye uingizaji wa sukari toka nje waziri mkuu na waziri wa kilimo waliosema NO they are nuisence hilo ni tusi,,, Mkenda na Majaliwa wana damu ya uzalewndo siyo upigaji
Kama siyo panic ni kulewa madaraka.
 
Ccm wako kazini. Kufanya propaganda ili ionekane wana mgawanyikoo ndani yao.

Ukweli hakuna mgawanyikoo wowote wa maaana ni sarakasi tuu za ki mkakati
 
Back
Top Bottom