Gerald .M Magembe
JF-Expert Member
- Jul 17, 2013
- 2,495
- 1,803
Huko tunako kwenda hata ikitokea mwanaume kamshindwa mkewe kumpa tiba usiku, watu watasingizia Mkulu. Mpeni nafasi apumzike. Yeye ni binadamu pia.Jiwe ni jiwe kwenye kupambana na upinzani na sio mengine Kama ufisadi,ajira, uchumi,umoja huku jiwe ugeuka ni kokoto tu.
Saa hizi kila kukwama atasingizia corona ndio itakayobebeshwa lawama
Siasa ikiwa mbovu uharibu kila kituHuko tunako kwenda hata ikitokea mwanaume kamshindwa mkewe kumpa tiba usiku, watu watasingizia Mkulu. Mpeni nafasi apumzike. Yeye ni binadamu pia.
SupportedAs long as wagonjwa wanaendelea kupona Mimi binafsi sioni haja ya kumshutumu hpa.
Idadi ya maambukizi na vifo bado iko chini sana ukilinganisha na nchi nyingine. Pia hao wabeberu wa WHO ni ujinga tu ndo umewajaa kwa kusema kuwa Tanzania hatuchukui hatua serious kwenye huu ugonjwa wakati wao nchi zao kila siku idadi ya wagonjwa na vifo inaongezeka,sasa kwa macho ya kawaida kati ya sisi na wao nani hayuko serious na haya mapambano ya covid-19?
Tumuunge mkono Rais wetu kwenye hili jambo na namna tunavyoenda nalo ili mda wa kushinda hii vitu basi wote nchi nzima tuwe ni washindi.
Naunga mkono hoja umedadavua vizuri sana,jamaa anatumia akili sana kufikisha ujumbe wakeMkuu mimi ni msomaji mzuri sana wa makala za Pascal mayalla, kunatoafauti kubwa ya uandishi wake from the day ameitwa bungeni. Hata Mimi kidogo nilipata mashaka kwa kuona ameanza kuandika makala Kama za gazeti la uhuru.lakini ni kinyume chake bado ni mwandishi anayetumia akili na kalamu yake kwa umakini sana hasa kwenye kipindi hichi ambacho media imewekwa mfukoni. Ukitaka kuamini hilo soma between lines alichokoandika kuhusu ushindi wa ccm serikali za mitaa.ukisoma juujuu utahisi amesifia lakini kiuhalisia amekejeli sana kwenye ile makala.pascal ikitokea magufuli akampa udc let say Kama watu wanavyomtabiria, itakuwa ni kwa factor nyingine tu Ila kwenye kujipendekeza hayupo....soma vizuri anachoandika utaelewa ninachokiongea
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi ni Yule aliye toa mtu kafara Dodoma mwenye saccos ndio huyo mnaye msemaMjanja yu mashakani chezea BEBERU WEWE Nyambafu .oh siend ulaya watapiga dirii/dili oh mm ni jiwe , oh sijui nini unakimbia mafua????
Dhambi ya kuuwa watu kule MKIRU haimuachi huyu hata akilala KANISANI
Sent using Jamii Forums mobile app
Rais Magufuli bado ni shujaa!, vifo ni 10 tuu, ndio kasi gani hiyo?!. Jee wajua wote waliokufa walikuwa na issues zao nyingine Corona ni kuwasindikiza tuu?.
Maajabu ya Corona Tanzania: Badala ya Madaktari Bingwa wa tiba kuliokoa Taifa, ni Bingwa wa Kemia ndiye analiokoa Taifa kwa ushauri wa kikemia - JamiiForums
Ama kweli nabii hakubaliki nyumbani!. Je Magufuli ni nabii? Tanzania wanambeza, Afrika wanamlilia! Tanzania yapigiwa mfano Magufuli awe Rais wa Afrika - JamiiForums
P
Duh....napitaKatika hotuba aliyoitoa Rais wetu hivi karibuni kule Chato, kuna mambo kadhaa ambayo yanatuonesha kwamba hali ya nchi kwa sasa ni tete:
1) Kwamba Rais yuko Chato kwa muda mrefu sasa
kwa kawaida Rais wetu Magufuli huenda Chato kwa mapumziko. hivi sasa ni muda umepita tunaona Rais yupo Chato. Corona ilipoanza kuchanganya, Rais wetu aliondoka Dar na kubanisha pale Dodoma, makao makuu. tulishuhudia Rais wetu akifanya MEDITATION kwenye majabali.
Naona baadaye akaona hiatoshi, akaamua kwenda mbali zaidi na hii Corona. na sasa tumeshuhudia akitoa Major Speech yake kutoka Chato. pia ni vema kukumbuka kwamba Rais wetu huwa ni mwoga sana wa majanga. amekuwa na kawaida ya kujitenga mbali na majanga, na kumwachia PM wake. hali kwa sasa ndio hiyo hiyo. Kamanda mkuu kaingia mitini. Hiyo ni dalili ya kukwama. A desperate president. Clutching at straws.
2) Hotuba inayochanganya
Katika hotuba aliyotoa, badala ya kutoa mwanga katika mapambano na Corona, imeleta giza. badala ya kutia matumaini, imeleta hofu zaidi. siyo ajabu sekeseke la Amana lilifuatia mara moja. Hotuba yake inaonesha anatumia zaidi uelewa wake na hisia zake, badala ya kutoa msimamo kutokana na sayansi ya kisasa kabisa, utafiti mpana, mjadala makini na wasaidizi wake, ushauri mpana na makini, na tafakari iliyo pevu. Hiyo ni dalili ya kukwama. A desperate president. Clutching at straws.
3) Anaongea na wakuu wa vyombo vya usalama
Rais Magufuli siku zote anapenda sana majeshi. akikwama popote pale anaita majeshi, na ni zaidi ya Rais yeyote aliyemtangulia. akikwama ujenzi, Jeshi. akikwama madaraja, Jeshi. na hata katika lile JANGA ALILOCHUMA MWENYEWE, JANGA LA KOROSHO, aliita jeshi. Katika kipindi hiki alichochanganyikiwa kabisa, aliona badala ya kuita maprofesa wa tiba na wataalamu wa magonjwa, wizara ya afya na wizara zingine, au hata Task force aliyounda mwenyewe kupambana na Corona, aliita wakuu wa vyombo vya usalama, majeshi.
Na kama alivyoita wanajeshi ili ikiwezekana wabangue korosho kwa buti, kasema wazi kabisa kwamba anataka kutumia jeshi kupambana na korona. na kweli, IGP akatafakari atafanya nini hapa kwa kutumia upolisi wake, akaamua kufanya kile ambacho wengi walishasema siku nyingi. kuzuia raia wa kutoka nje. sasa tunasubiri CDF Mabeyo yeye atafanya nini , atoe amri wanajeshi waitandike buti Corona? Au yule wa Magereza aitie gerezani Corona? Hiyo ni dalili ya kukwama. A desperate president. Clutching at straws.
4) Visingizio vya ajabu
Labda katika hali inayoonesha kukwama zaidi, Rais ametoa visingizio. Badala ya kufuata njia sahihi za kukabiliana na Corona, aliamua kuziba masikio na kupokea sifa kutoka kwa wale waliomuona kwamba ni shujaa pale mwanzo.
sasa vifo vinaongezeka kwa kasi, analaumu dawa za kupulizia, analaumu kwamba pengine amehujumiwa kwa kuletewa Barakoa zenye virusi vya Corona! Huyu ni mtu asiyetaka kubeba lawama begani na kujisahihisha. kukubali na kukiri alikosea, na kusonga mbele. Hiyo ni dalili ya kukwama. A desperate president. Clutching at straws.
Pascal ulehei nzugu kunuPascal njoo huku mbezi au popote njia ya kwenda mbweni utaliona lile gari la city linavyosomba maiti. Juzi walizikwa 9 mzee na watu wameona kwa macho.
Endelea kumwamini ummy
Sent using Jamii Forums mobile app
Sema Pascal siku hizi anacheza miguu yote na Ndugai hawezi kujua akabe mguu ganiMkuu mimi ni msomaji mzuri sana wa makala za Pascal mayalla, kunatoafauti kubwa ya uandishi wake from the day ameitwa bungeni. Hata Mimi kidogo nilipata mashaka kwa kuona ameanza kuandika makala Kama za gazeti la uhuru.lakini ni kinyume chake bado ni mwandishi anayetumia akili na kalamu yake kwa umakini sana hasa kwenye kipindi hichi ambacho media imewekwa mfukoni. Ukitaka kuamini hilo soma between lines alichokoandika kuhusu ushindi wa ccm serikali za mitaa.ukisoma juujuu utahisi amesifia lakini kiuhalisia amekejeli sana kwenye ile makala.pascal ikitokea magufuli akampa udc let say Kama watu wanavyomtabiria, itakuwa ni kwa factor nyingine tu Ila kwenye kujipendekeza hayupo....soma vizuri anachoandika utaelewa ninachokiongea
Sent using Jamii Forums mobile app
Basi limekatika breki mteremko wa mlima wa Kitonga, dereva ameruka nje kawaacha abiria waangamie. Kilangila.Mkuu umeeleza vizi kabisa mm sina cha kuongeza ila namwambia rais ajiandae kutoka ikulu arudi chato kulima kuongoza watu hawezi na katika kipindi hiki kigumu ndipo anaonyesha namna gani hawezi kutuongoza watanzania
Sent using Jamii Forums mobile app
Hili kweli wengi tulikuwa hatujalifikiri. Wataalamu wamesema corona ni hatari sana kwa wazee, watu wenye maradhi yaletayo udhaifu mwilini kama pressure, TB, Asma , nk. Hii inaonyesha pengine kiongozi wetu ana udhaifu Fulani ambao wale jamaa kitengo wameona ni risk kumuacha kuwepo Dar au Dodoma ili kuepuka kabisa maambukizo.Mkuu Mindi, jee unafahamu wagonjwa wa Corona wanaokufa, huwa wana issues gani kabla?.
Jee unajua health status ya mtu wetu kama na yeye ana any issue, kakolona kakipita kanakula kichwa?.
Do we have to take such risks?. Kama huko alipo is safe heaven, let him be there for as long as it takes.
P.
Mtaweka rekodi mtani [emoji16][emoji16]Tunaenda kupiga Virus kwa makombora this time... mtaelewa tu.
Mkuu Chakaza, lets don't assume and insinuates anything!. Mkuu wetu yuko kwao Chato kwa mapumziko, na baada ya mapumziko anaendelea na kazi akiwa Ikulu ya Chato akiendelea kupiga kazi kama kawaida, hayo mengine sii yetu, waachie wenyewe!.Wataalamu wamesema corona ni hatari sana kwa wazee, watu wenye maradhi yaletayo udhaifu mwilini kama pressure, TB, Asma , nk.
Ñaamini hujaelewa kaenda kitengo gani...Nilitegemea ungeenda kwenye hicho kitengo cha mawasiliano alichoenda yule mama yetu aliyekuwa wizara ya siha
Ushujaa wake upo kwene nn kwene hili swala la Corona ni wazi magufuli anajaribu kuaminisha wananchi kwamba hii issue ni ndgo kuogopa mapato nchi haina fedha hii, raisi ambae ndio kiongozi anajitia eti hajui takwimu ya ile siku, kiongozi bora huonekana kwene majanga sio tu kujenga barabara kwa Kodi za wananchiRais Magufuli bado ni shujaa!, vifo ni 10 tuu, ndio kasi gani hiyo?!. Jee wajua wote waliokufa walikuwa na issues zao nyingine Corona ni kuwasindikiza tuu?.
Maajabu ya Corona Tanzania: Badala ya Madaktari Bingwa wa tiba kuliokoa Taifa, ni Bingwa wa Kemia ndiye analiokoa Taifa kwa ushauri wa kikemia - JamiiForums
Ama kweli nabii hakubaliki nyumbani!. Je Magufuli ni nabii? Tanzania wanambeza, Afrika wanamlilia! Tanzania yapigiwa mfano Magufuli awe Rais wa Afrika - JamiiForums
P
Dogo kapamba moto yeye haisomi namba bali anawasoma WabongoAcha waisome namba eeh
''A desperate president. Clutching at straws.'' I like thisKatika hotuba aliyoitoa Rais wetu hivi karibuni kule Chato, kuna mambo kadhaa ambayo yanatuonesha kwamba hali ya nchi kwa sasa ni tete: