Uchaguzi 2020 Sasa ni dhahiri ubunge Kigamboni itakuwa Makonda (CCM) vs Yericko Nyerere (CHADEMA)

Uchaguzi 2020 Sasa ni dhahiri ubunge Kigamboni itakuwa Makonda (CCM) vs Yericko Nyerere (CHADEMA)

Mkuu Kumbunga,
Kwema habari za masiku sisi wazima tupo vijijini na kilimo tu, naona ubunge umekuwa kazi rahisi sana kila mtu anautaka.
Mkuu Ritz habari za siku tele? Tangia ukimbilie shamba, umeacha huku vijana wakijimwambafai.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Kigamboni sio Kolomije tafadhali aseeeeeeeeeh, mtu ameshaliwa kichwaaaah hukoooh.
 
Makonda atashinda Jimbo lolote atakalogombea hata ingekua kongwa kwasababu mteja wake ndiye raisi,ndiye amiri jeshi ,ndiye tume ya uchaguzi na ndiye mahakama
Wewe lazima utakua mjumbe😁😁😁😁😁😁
 
Back
Top Bottom