Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,494
- 96,074
Kauze chai na maandazi kazi yako uliyo somea
In God we Trust
Ndio.
Kwa sababu mabeberu watakuwa wamekatiwa mirija!
In God we Trust
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio.
Kwa sababu mabeberu watakuwa wamekatiwa mirija!
Makonda alishajitengenezea mazingira, hivyo ni dhahiri ashakuwa mbunge+
Mfamaji haachi kutapatapa......Ngoja Lissu aje watakimbia nchiHivi mataga mkojee?? Making majimbo yote ya dar anayataka??
Alianza ubungo akaja kibamba huyoo akaenda kawe now analitaka tena la kigamboni???
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe humtaki mjukuu wa baba wa taifa!!!Kauze chai na maandazi kazi yako uliyo somea
In God we Trust
Wewe humtaki mjukuu wa baba wa taifa!!!
Labda atashinda njaa [emoji23][emoji23][emoji23]YERICKO ATASHINDA ASUBUHI NA MAPEMA
Bila kupepesa macho naweza kusema sasa macho ya wanakigamboni yanawaangalia wanasiasa vijana wawili Paul Makonda wa CCM na Yericko Nyerere wa CHADEMA kama wagombea watarajiwa wa ubunge.
Mungu awabariki vijana hawa ambao mmoja ni mkuu wa mkoa na mwingine ni mwandishi nguli wa vitabu vya mbinu za ujasusi duniani.
Maendeleo hayana vyama
Wewe sasa ni mnafiki, huyo si alikataliwa na familia ya Nyerere, mnataka kumfanya Mbunge huyu fisadi wa Jina na historia ya watu. Huyu ulaya na USA anaitwa THIRF OF IDENTITY, na kifungo chake ni miaka 25 bila msamaha (Parole)Wewe humtaki mjukuu wa baba wa taifa!!!
Kwani mjukuu maana yake ni nini bwashee?Wewe sasa ni mnafiki, huyo si alikataliwa na familia ya Nyerere, mnataka kumfanya Mbunge huyu fisadi wa Jina na historia ya watu. Huyu ulaya na USA anaitwa THIRF OF IDENTITY, na kifungo chake ni miaka 25 bila msamaha (Parole)
Sent using Jamii Forums mobile app
Swali lako ni personal ingefaa umtafute umuulize binafsi... mi simzungumzii Makonda kama huyo uliosoma nae wewe mi namzungumzia kama mkuu wa mkoa mengine yanayohusu maisha yake muulize
Hapana nipo Zambia Mkuu!!!! Yericko Jasusi inabidi aweke pigamizi kwa Mpinzani wake Bashite kwamba Sio Paul Makonda itababidi akapinge NEC.
CCM Kama hawalitaki hilo Jimbo basi wasimamishe mmojawapo.Makonda alishajitengenezea mazingira, hivyo ni dhahiri ashakuwa mbunge+
Ndugu hujui kuwa ubunge kwa Makonda ni straight path ya kuwa waziri. Sasa fikiria waziri na mkuu wa mkoa ni nani mwenye cheo kikubwa ki-serikali?Yaan Makonda anaweza acha kuongoza Dar na kwenda kuiongoza Kigambon.yaani awe anajidiliana na Yule Dc Lucy aache kuwaongoza Ma dc watano (ubungo,temeke,Ilala,kinondoni,na kigamboni yenyewe?.
mimi nilidhani mkuu wa mkoa kama wa Dar,Mwanza,Arusha na Mbeya ni Heshima zaidi kuliko kuliko kuongoza wizara yoyote hapa bongo.Labda kama lengo ni kuwa PM , though sioni kama kuwa wa kuchukua nafasi ya Majaliwa 2021.
Labda posho na pension za bunge ni kubwa kuliko za U-RC
wajuzi wanaweza kutujuza zaidi
Ila hatatangazwaYERICKO ATASHINDA ASUBUHI NA MAPEMA
Mtoto wa mtoto wako. Mjukuu ni kizazi chako. IDENTITY THEFT IS A CRIME. Na huyu yericko ni mwizi wa jina, ukoo na historia.Kwani mjukuu maana yake ni nini bwashee?
Hata Lyatonga hawezi kutoa msamaha? [emoji16][emoji16]Wewe sasa ni mnafiki, huyo si alikataliwa na familia ya Nyerere, mnataka kumfanya Mbunge huyu fisadi wa Jina na historia ya watu. Huyu ulaya na USA anaitwa THIRF OF IDENTITY, na kifungo chake ni miaka 25 bila msamaha (Parole)
Sent using Jamii Forums mobile app
Namjua kwani kwa pilato wanaangalia cheo au vifungu vya sheria zilizowekwa?Unamjua waziri wa katiba na sheria lakini?!