Sisyphus
JF-Expert Member
- Oct 8, 2015
- 4,062
- 5,741
Kataa kubali hakuna mtu maarufu Dar kama makonda usidanganywe na maneno ya mitandaoni hata Magu akigombania na Makonda Dar hashindiHuyo makonda hakuna mtu wa anampa kura - kwanza kafanya nini cha mno hadi azawadiwe ubunge na wana kigamboni? akagombee kwao ubashiteni huku hatumtaki atuache na shida zetu.