Savimbi Jr
JF-Expert Member
- Sep 23, 2011
- 6,818
- 9,183
Hapana nipo Zambia Mkuu!!!! Yericko Jasusi inabidi aweke pigamizi kwa Mpinzani wake Bashite kwamba Sio Paul Makonda itababidi akapinge NEC.Mkuu unaishi Kenya?
CCM ni chama kikubwa!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapana nipo Zambia Mkuu!!!! Yericko Jasusi inabidi aweke pigamizi kwa Mpinzani wake Bashite kwamba Sio Paul Makonda itababidi akapinge NEC.Mkuu unaishi Kenya?
CCM ni chama kikubwa!
Mbona Mwigullu na Kigwangalla wanadunda!Hapana nipo Zambia Mkuu!!!! Yericko Jasusi inabidi aweke pigamizi kwa Mpinzani wake Bashite kwamba Sio Paul Makonda itababidi akapinge NEC.
Boss ni RC lakini mwenye marupurupu lukuki ni mbunge!Hivi Mbunge wa jimbo na Mkuu wa Mkoa nani ni "bosi" kwenye utumishi wa umma,nk??
Uchaguzi huu Said Bagaile na Lameck Madelu lazima wapingwe NEC kwa kutumia majina ambayo sio yao.Mbona Mwigullu na Kigwangalla wanadunda!
Ukishaingia barabara ya lami hatuangalii vichochoro ulivyotokea!
Kwa dhulma kivipi fafanua nduguIla upinzani mngewaachia hao CCM wagombee wenyewe washinde wenyewe. Nyie muwe watazamaji tuu maana hata iweje watapita wao iwe kwa haki au dhuluma.
Hahahaaaa......... Hiyo aliiweza Augustino Lyatonga Mrema pekee chini ya uwakili wa Dr Masumbuko rip!Uchaguzi huu Said Bagaile na Lameck Madelu lazima wapingwe NEC kwa kutumia majina ambayo sio yao.
Ni kichaa mwenye watu wanaomsikiliza ukitaka kujua huyu ni mtu wa aina gani hata aseme la ajabu kiasi gani asilimia 90 watafanya ... kumuwekea Yeriko narudia tena ni kumuacha ashinde bila kipingamizi ...Yeriko na Bashite ni mbingu na ardhi kwenye siasa
Sasa mwaka huu wanatemeshwa ndoano wote maana US/UK/WB/IFM are watching na Mzee baba alishasema uchaguzi utakuwa huru na haki so inabidi haki ionekane kweli.Hahahaaaa......... Hiyo aliiweza Augustino Lyatonga Mrema pekee chini ya uwakili wa Dr Masumbuko rip!
Huu ndio ukweli ila kwa unafiki wao unafikiri itawezekana hiyo...Ila upinzani mngewaachia hao CCM wagombee wenyewe washinde wenyewe. Nyie muwe watazamaji tuu maana hata iweje watapita wao iwe kwa haki au dhuluma.
Mkuu,kusoma hujui hata picha nayo huoni?!
Usiweke hisia na uchama, Makonda ni mtu aliyejipambanua vyema katika nyanja ya siasa licha ya mapungufu yake kadha wa kadha..!
Na ana uthubutu kuliko walio wengi..!
Hamna mbunge wa chadema mwenye ubavu wa kupambana na makonda mbele ya wananchi. Hamna!
Hata Kilimanjaro hawapati mbunge hata mmoja...... Tumaini lao ni Prof Jay pekee kama hataenda CCM!
Unamjua waziri wa katiba na sheria lakini?!Sasa mwaka huu wanatemeshwa ndoano wote maana US/UK/WB/IFM are watching na Mzee baba alishasema uchaguzi utakuwa huru na haki so inabidi haki ionekane kweli.
Said Bagaile,Lameck Madelu na Daud Albert Bashite nyaraka zao zipo halisi za majina yao,hayo wanayotumia kwasasa ndio huo wizi(forgery) tunayozungumzia hapa.
Yani Makonda wanamuweka na Yeriko kweli ... Alafu akishinda mseme ameiba kura ... wana Dar es salaam wangapi wanamfahamu Yeriko Nyerere ... That will not be a war... it’s massacre
Ndio.Ndiyo itakuwa dawa ya uchumi wenu ulio dumaa
In God we Trust