Uchaguzi 2020 Sasa ni dhahiri ubunge Kigamboni itakuwa Makonda (CCM) vs Yericko Nyerere (CHADEMA)

Uchaguzi 2020 Sasa ni dhahiri ubunge Kigamboni itakuwa Makonda (CCM) vs Yericko Nyerere (CHADEMA)

Unataka kusema CCM wameshahesabu kura tayali na wamekaa nazo Lumumba?
Hapana, naangalia ushawishi wa hao wagombea wawili na mwingine ana faida zaidi ya kuwa kwenye ‘Chama dola’
 
Kama ikiwa utabiri wako utakuwa kweli, Makondanatashinda asubuhi kabisa. Na sidhani Chadema watalitelekeza jimbo muhimu kama kigamboni, kumpangia mgombea asiyekuwa na ushawishi kama Yericko.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bila kupepesa macho naweza kusema sasa macho ya wanakigamboni yanawaangalia wanasiasa vijana wawili Paul Makonda wa CCM na Yericko Nyerere wa CHADEMA kama wagombea watarajiwa wa ubunge.

Mungu awabariki vijana hawa ambao mmoja ni mkuu wa mkoa na mwingine ni mwandishi nguli wa vitabu vya mbinu za ujasusi duniani.

Maendeleo hayana vyama
Yani yericko nyerere leo kawa mwandishi nguli yani ule uandishi was DJ mark au lufufu mkandala kawa mwandishi nguli
 
Nadhani record hiyo 2015 lema anaweza kuwa ndie mbunge aliyeweka record ya kupigiwa kura nyingi,I don't know 2020,Mambo yatakuwaje kwakwe.Ahadi zake kwa wapiga kura Kama hajazitekeleza,A town inawezekana kabisa kurudi mikononi kwa wapinzani wake.
 
Bila kupepesa macho naweza kusema sasa macho ya wanakigamboni yanawaangalia wanasiasa vijana wawili Paul Makonda wa CCM na Yericko Nyerere wa CHADEMA kama wagombea watarajiwa wa ubunge.

Mungu awabariki vijana hawa ambao mmoja ni mkuu wa mkoa na mwingine ni mwandishi nguli wa vitabu vya mbinu za ujasusi duniani.

Maendeleo hayana vyama
Kwani Ndungulile mmesha mfukuza hata uanachama?

In God we Trust
 
Yericko is our man beyond our 'foe line' i.e. culprits designated mapline. Any move he makes is synchronised with our 'command centre makeshift'.
===
Msi'panic' ni conspiracy theories hizo. Ha ha haaaa!!!
 
Nasubiria kwa hamu mpambano kati ya shoga na jasusi mlima bamia wa mbutu!nadhani wenye akili watampigia jasusi na sio shoga!!
 
Back
Top Bottom