Asante kwa kuharibu Uzi ambao akili zako hazina uwezo nao.hii inaonesha Afrika bado tuna safari ndefu labda watu kama nyie mfe. Mimi pia ni shabiki wa Magufuli ila unachokifanya ni zaidi ya utoto na nauhakika una msongo wa mawazo kisa huna kazi, akili wala hela.Watanzania tumeshayapata mabadiliko kupitia kwa Rais Mzalendo Magufuli Nyie wengine ni wachumia tumbo tu kama Lissu.
Toka CHADEMA njoo CCM kijanaAsante kwa kuharibu Uzi ambao akili zako hazina uwezo nao.hii inaonesha Africa bado tuna safari ndefu labda watu kama nyie mfe.mimi pia ni shabiki wa magufuri ila unachokifanya ni zaidi ya utoto Na nauhakika una msongo wa mawazo kisa huna kazi,akili wala hela
Hujui lolote kuhusu siasaAsante kwa kuharibu Uzi ambao akili zako hazina uwezo nao.hii inaonesha Africa bado tuna safari ndefu labda watu kama nyie mfe.mimi pia ni shabiki wa magufuri ila unachokifanya ni zaidi ya utoto Na nauhakika una msongo wa mawazo kisa huna kazi,akili wala hela
Unasema nimeharibu uzi kwani hii JF ni mali yako?Asante kwa kuharibu Uzi ambao akili zako hazina uwezo nao.hii inaonesha Africa bado tuna safari ndefu labda watu kama nyie mfe.mimi pia ni shabiki wa magufuri ila unachokifanya ni zaidi ya utoto Na nauhakika una msongo wa mawazo kisa huna kazi,akili wala hela
SawaMkuu utafiti umefanyika, km Uchaguzi utafanyika kesho tayari Rais Magufuli anashinda kwa 99%.
Chin ya ccm ndani ya miaka 60 ijayo utumwa utarudiMada nzuri sana hii. Ngoja waje wahusika.
Sijauliza kuhusu CCM bali nimeuliza kuhusu AfrikaChin ya ccm ndani ya miaka 60 ijayo utumwa utarudi
Sawa mkuu. Unadhani huo utumwa utarudi kwa njia zipi?Utumwa utarudi
Mkuu, inaonekana una chuki sana na CCMChin ya ccm ndani ya miaka 60 ijayo utumwa utarudi
Daaah hatari sana mkuu...Afrika itakuwa hivi hivi kwa zaidi ya miaka 200 ijayo
Sawa kiongoziDevelopment has to be people centredView attachment 1600474View attachment 1600475
Duuuh aisee...akina nyerere na viongozi wenzake was kipindi hicho walifanya upumbavu mkubwa ambao utaugharimu afrika karne na karne-kutoingunisha Afrika kuwa Nchi moja.
Hii ni idea njema sana mkuu...Kuna njia kuu 2 za kuwa afrika tunayoihitaji-kwanza inabidi tuungane bara lote na Njia nyingine tuwe na technojia zetu wenyewe.