Afrika itakuwa hivi hivi kwa zaidi ya miaka 200 ijayo akina nyerere na viongozi wenzake was kipindi hicho walifanya upumbavu mkubwa ambao utaugharimu Afrika karne na karne-kutoingunisha Afrika kuwa Nchi moja.
Kuna njia kuu 2 za kuwa Afrika tunayoihitaji-kwanza inabidi tuungane bara lote na Njia nyingine tuwe na technojia zetu wenyewe.
Kukamikisha hayo 2 hapo juu unahitaji viongozi wenye kaliba na IQ zaidi ya Gaddafi, Nyerere,na Nkrumah.
Lasivyo tuendelee kucheza ngoma anayopiga wazungu na tuendelee kukamilisha ecosystem ya hapa duniani.