Sasa ni miaka 60 baada ya Uhuru wa Bara letu. What kind of future do African politicians hold for their fellow countrymen in the next 60 years (2080)?

Sasa ni miaka 60 baada ya Uhuru wa Bara letu. What kind of future do African politicians hold for their fellow countrymen in the next 60 years (2080)?

Watanzania tumeshayapata mabadiliko kupitia kwa Rais Mzalendo Magufuli Nyie wengine ni wachumia tumbo tu kama Lissu.
Asante kwa kuharibu Uzi ambao akili zako hazina uwezo nao.hii inaonesha Afrika bado tuna safari ndefu labda watu kama nyie mfe. Mimi pia ni shabiki wa Magufuli ila unachokifanya ni zaidi ya utoto na nauhakika una msongo wa mawazo kisa huna kazi, akili wala hela.
 
Asante kwa kuharibu Uzi ambao akili zako hazina uwezo nao.hii inaonesha Africa bado tuna safari ndefu labda watu kama nyie mfe.mimi pia ni shabiki wa magufuri ila unachokifanya ni zaidi ya utoto Na nauhakika una msongo wa mawazo kisa huna kazi,akili wala hela
Toka CHADEMA njoo CCM kijana
 
Asante kwa kuharibu Uzi ambao akili zako hazina uwezo nao.hii inaonesha Africa bado tuna safari ndefu labda watu kama nyie mfe.mimi pia ni shabiki wa magufuri ila unachokifanya ni zaidi ya utoto Na nauhakika una msongo wa mawazo kisa huna kazi,akili wala hela
Hujui lolote kuhusu siasa
 
Unasema nimeharibu uzi kwani hii JF ni mali yako?
 
Wewe na familia yako kura zenu mkimpa msaliti wa Nchi haitaathiri kitu kwa sababu Dr Magufuli ni kipenzi cha Watanzania na tutampigia kura kwa 98% Vijana wachache wa Chadema mwaka huu mtajiua sana.
 
Asante Rais Magufuli kwa kutupeleka Tanzania katika uchumi wa kati, Mungu akupe afya uendelee kututumikia.
 
Afrika itakuwa hivi hivi kwa zaidi ya miaka 200 ijayo akina nyerere na viongozi wenzake was kipindi hicho walifanya upumbavu mkubwa ambao utaugharimu Afrika karne na karne-kutoingunisha Afrika kuwa Nchi moja.

Kuna njia kuu 2 za kuwa Afrika tunayoihitaji-kwanza inabidi tuungane bara lote na Njia nyingine tuwe na technojia zetu wenyewe.

Kukamikisha hayo 2 hapo juu unahitaji viongozi wenye kaliba na IQ zaidi ya Gaddafi, Nyerere,na Nkrumah.

Lasivyo tuendelee kucheza ngoma anayopiga wazungu na tuendelee kukamilisha ecosystem ya hapa duniani.
 
Back
Top Bottom