Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tuupe muda wakatiLeta uthibitisho wako juu ya madai yako, vinginevyo usitake tuyaamini maneno ya mwenyekiti wenu mstaafu bwana Rage!
Na wewe ziruke basi..Likija swala la Simba na Yanga akili hua zinakuruka
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Kwamba Mayele ameuzwa na Uto? Waulizeni vizuriYanga tumefanya biashara nzuri 3b ni pesa ndefu kumbuka Mayele tulimpata kama free agent
Tukamunoa sasa tumemuuza pesa ndefu hongereni viongozi wa yanga
Mwakani tunaamuza Musonda 5b na Job
Namtakia kila la heri Fiston
Nidhamu, bidii yake naamini atafanikiwa
Hadi wakati unaandika hukuwa na Imani kuwa mzee wa kutetema sio mwana jangwani tena?Picha video kusindikizia uzi vipo wapi wewe?
Wapi nitaweza PATA jezi ya Pyramids!?View attachment 2703284
Club ya Pyramid FC ya Misri imetangaza kumsajli Mshambuliaji wa Kimataifa wa Congo DR Fiston Kalala Mayele (29) kutokea Yanga SC ya Tanzania.
Mayele anaondoka Yanga baada ya kucheza misimu miwili Tanzania kwa maanikio makubwa msimu wa kwanza 2021/2022 alimaliza nafasi ya pili kwa ufungaji magoli 16.
Msimu wa 2022/2023 akiibuka MVP wa Ligi Kuu Tanzania bara sambamba na tuzo ya Mfungaji bora wa Ligi sawa na Said Ntibazonkiza wa Simba wote wakifunga magoli 17.
Mayele anaondoka Yanga baada ya kuisaidia kutwaa taji la Ligi Kuu mara 2, FA Cup 2 Ngao ya Jami mara mbili na kuisaidia Yanga kucheza fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika kwa mara ya kwanza katika historia yao msimu 2022/2023 na ndio Mfungaji bora wa Michuano hiyo akimaliza a magoli 7
Mayele kika sai ni akiliFiston Kalala Mayele ni mwana pyramidView attachment 2703285
Rage tunakukumbukaYanga SC wakiambulia Pesa nyingi ya Mgao basi itakuwa ni Shilingi Elfu Mbili ( Tsh 2,000/= ) tu za Kitanzania na watakaopata nyingi ni Klabu yake ya AS Vita, Maniema FC na Tajiri wa Congo DR anayemmiliki Mchezaji Mayele na Wachezaji wengine 23 walioko Ulaya na baadhi ya nchi za Bara la Afrika.
Huu ni uchawi sasa, Mayele ligi Africa atashindwa kucheza na kutupia?Yanga Wanaomba Ashindwe Halafu Arudi Kwao Ila Imekuwa Dua La Kuku....
Ameuzwa na Simba.Kwamba Mayele ameuzwa na Uto? Waulizeni vizuri
Hivi hupo sawa kweli mkuu?Account ya bank ya club ni public?.Mpaka sasa Pyramid bado hawajaingiza hata senti tano kwenye akaunti ya Yanga kwa ajili ya malipo ya kumnunua Mayele.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaha, mbumbumbu umemjibu ki mbumbumbuAmeuzwa na Simba.