MINOCYCLINE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2015
- 8,018
- 16,802
Ukabila upo sn Tz sema ni unafiki tu unatusaidiaKama kuna Kitu Watanzania wote tunatakiwa Kupongezana sana tena 24/7 na Kumshukuru mno Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere ni Kitendo chake cha kutoruhusu Ukabila nchini ila tubakie tu na Utanzania Wetu kama Kitambulisho chetu Kikuu.
Kenya Ukabila ndiyo utamua Rais wao.
Mkuu MINOCYCLINE , kwanza asante kwa hoja hii muhimu, Ila kama hivi ndio umemaliza,... basi Duh...!.Kama kuna Kitu Watanzania wote tunatakiwa Kupongezana sana tena 24/7 na Kumshukuru mno Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere ni Kitendo chake cha kutoruhusu Ukabila nchini ila tubakie tu na Utanzania Wetu kama Kitambulisho chetu Kikuu.
Kenya Ukabila ndiyo utamua Rais wao.
Kama kuna Kitu Watanzania wote tunatakiwa Kupongezana sana tena 24/7 na Kumshukuru mno Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere ni Kitendo chake cha kutoruhusu Ukabila nchini ila tubakie tu na Utanzania Wetu kama Kitambulisho chetu Kikuu.
Kenya Ukabila ndiyo utamua Rais wao.
Kuna yule Mkulu aliyejenga Airport kijijini kwake alitaka kuturejesha katika ukabila na ukanda.
Duh, hii kali.... yet every Kenyan election goes on peacefully....
You know why it is always TZ vs Ke? Watanzania na wakenya ni kama ndugu flan ivi wanaopenda ligi ila they secretly care for each other jiulize kwanin sio Uganda,Rwanda,Burundi,Sudan or Congo kwanin ni Kenya na Tanzania tu u guys are our closest neighbours lazima tuzinguane ila hatuchukianiEvery Kenyan election, Tanzanian idiots open threads and preach war against Kenya, yet every Kenyan election goes on peacefully. You're really praying for Kenya to fail. You guys are so full of hatred.
Kama ungeufyata ingekuwa vyema zaidi.Kama kuna Kitu Watanzania wote tunatakiwa Kupongezana sana tena 24/7 na Kumshukuru mno Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere ni Kitendo chake cha kutoruhusu Ukabila nchini ila tubakie tu na Utanzania Wetu kama Kitambulisho chetu Kikuu.
Kenya Ukabila ndiyo utamua Rais wao.
You're a damn and certified Kenyan Fool.Every Kenyan election, Tanzanian idiots open threads and preach war against Kenya, yet every Kenyan election goes on peacefully. You're really praying for Kenya to fail. You guys are so full of hatred.
Traiblism in Kenya is a major stumbling block to democracy, so chonde chonde ndugu zetu wa kenya don't go back to traibalism and ethnicity msipige kura za kikabila pigeni kura kwa kuzingatia sifa bora ya/za Mgombea.Every Kenyan election, Tanzanian idiots open threads and preach war against Kenya, yet every Kenyan election goes on peacefully. You're really praying for Kenya to fail. You guys are so full of hatred.
Worry not and focus on changing your aristocratic regime into a real democracy.Traiblism in Kenya is a major stumbling block to democracy, so chonde chonde ndugu zetu wa kenya don't go back to traibalism and ethnicity msipige kura za kikabila pigeni kura kwa kuzingatia sifa bora ya/za Mgombea.
Kama kuna Kitu Watanzania wote tunatakiwa Kupongezana sana tena 24/7 na Kumshukuru mno Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere ni Kitendo chake cha kutoruhusu Ukabila nchini ila tubakie tu na Utanzania Wetu kama Kitambulisho chetu Kikuu.
Kenya Ukabila ndiyo utamua Rais wao.
Every Kenyan election, Tanzanian idiots open threads and preach war against Kenya, yet every Kenyan election goes on peacefully. You're really praying for Kenya to fail. You guys are so full of hatred.