Kenya 2022 Sasa ni rasmi kuwa huko Kenya katika '2022 General Election' ni Vita kati ya Kikuyu na Luo dhidi ya Kalenjin na Luya

Kenya 2022 General Election

MINOCYCLINE

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2015
Posts
8,018
Reaction score
16,802
Kama kuna Kitu Watanzania wote tunatakiwa Kupongezana sana tena 24/7 na Kumshukuru mno Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere ni Kitendo chake cha kutoruhusu Ukabila nchini ila tubakie tu na Utanzania Wetu kama Kitambulisho chetu Kikuu.

Kenya Ukabila ndiyo utamua Rais wao.
 
Ukabila upo sn Tz sema ni unafiki tu unatusaidia
 
Kama kuna Kitu Watanzania wote tunatakiwa Kupongezana sana tena 24/7 na Kumshukuru mno Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere ni Kitendo chake cha kutoruhusu Ukabila nchini ila tubakie tu na Utanzania Wetu kama Kitambulisho chetu Kikuu.

Kenya Ukabila ndiyo utamua Rais wao.
Mkuu MINOCYCLINE , kwanza asante kwa hoja hii muhimu, Ila kama hivi ndio umemaliza,... basi Duh...!.
Ungetufafanulia kidogo huo Ukabaila.
P
 
Kama kuna Kitu Watanzania wote tunatakiwa Kupongezana sana tena 24/7 na Kumshukuru mno Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere ni Kitendo chake cha kutoruhusu Ukabila nchini ila tubakie tu na Utanzania Wetu kama Kitambulisho chetu Kikuu.

Kenya Ukabila ndiyo utamua Rais wao.

Kuna yule Mkulu aliyejenga Airport kijijini kwake alitaka kuturejesha katika ukabila na ukanda.
 
kwa Majirani zetu wa Kenya Ukabila bado ni Tatizo.

Jambo hilo halina kificho ila nawashauri sana ndugu zetu wa Kenya wasiendekeze Ukabila....waungane wamchague Rais ambaye haendekezi suala la Ukabila.....

kwa Maoni yangu namuona Wiliam Ruto anaweza na anafaa sana kuondoa Ukabila Kenya.
"Baba" anaweza kubakia kuwa mshauri.
 
Every Kenyan election, Tanzanian idiots open threads and preach war against Kenya, yet every Kenyan election goes on peacefully. You're really praying for Kenya to fail. You guys are so full of hatred.
You know why it is always TZ vs Ke? Watanzania na wakenya ni kama ndugu flan ivi wanaopenda ligi ila they secretly care for each other jiulize kwanin sio Uganda,Rwanda,Burundi,Sudan or Congo kwanin ni Kenya na Tanzania tu u guys are our closest neighbours lazima tuzinguane ila hatuchukiani
 
Kama kuna Kitu Watanzania wote tunatakiwa Kupongezana sana tena 24/7 na Kumshukuru mno Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere ni Kitendo chake cha kutoruhusu Ukabila nchini ila tubakie tu na Utanzania Wetu kama Kitambulisho chetu Kikuu.

Kenya Ukabila ndiyo utamua Rais wao.
Kama ungeufyata ingekuwa vyema zaidi.
 
Every Kenyan election, Tanzanian idiots open threads and preach war against Kenya, yet every Kenyan election goes on peacefully. You're really praying for Kenya to fail. You guys are so full of hatred.
Traiblism in Kenya is a major stumbling block to democracy, so chonde chonde ndugu zetu wa kenya don't go back to traibalism and ethnicity msipige kura za kikabila pigeni kura kwa kuzingatia sifa bora ya/za Mgombea.
 
Worry not and focus on changing your aristocratic regime into a real democracy.
 
Every Kenyan election, Tanzanian idiots open threads and preach war against Kenya, yet every Kenyan election goes on peacefully. You're really praying for Kenya to fail. You guys are so full of hatred.

Hamna Mtanzania anayemchukia Mkenya. Tanzania na Kenya muingiliano ni mkubwa sana kwa hiyo baya lolote la kuwapata Wakenya Tanzania tutaasirika pia
 
Kenya ukabila ni sehemu ya fahari yao, wakenya wengi wanajivunia kwa itikadi zao za kikabila na viongozi wao wa kisiasa wajanja wanatumia huo ujinga wa wananchi wao kufanikisha mambo yao.

Siku Kenya ikiweza kuondokana na hili jinamizi la kikabila huenda itapiga hatua za kimaendeleo mara tatu ya ulivyo sasa.

Wakenya badilikeni
 
Back
Top Bottom