Kenya 2022 Sasa ni rasmi kuwa huko Kenya katika '2022 General Election' ni Vita kati ya Kikuyu na Luo dhidi ya Kalenjin na Luya

Kenya 2022 General Election
kwa Majirani zetu wa Kenya Ukabila bado ni Tatizo.

Jambo hilo halina kificho ila nawashauri sana ndugu zetu wa Kenya wasiendekeze Ukabila....waungane wamchague Rais ambaye haendekezi suala la Ukabila.....

kwa Maoni yangu namuona Wiliam Ruto anaweza na anafaa sana kuondoa Ukabila Kenya.
"Baba" anaweza kubakia kuwa mshauri.
Unasema usichokijua.
Ruto na Odinga wote wamebeba blocks za makabila makubwa, wote wanatumia platforms za kikabila kutafuta kuungwa mkono. Hapo hakuna cha afadhali.
 
Every Kenyan election, Tanzanian idiots open threads and preach war against Kenya, yet every Kenyan election goes on peacefully. You're really praying for Kenya to fail. You guys are so full of hatred.
Ndugu yangu acha kukariri.
Usichukie kuona wakenya wakikosolewa, jifunze kuchukulia mambo kwa mtanzamo chanya kwanza.

Mleta mada anazungumzia ukabila wa wakenya, wewe unazungumzia vita na machafuko ya kisiasa, sijui umewaza nini?

Sasa, turudi kwenye mada.
Je, siasa za Kenya hazijajikita kikabila?
Je, wewe unaona ufahari na siasa za kikabila?
 
Kama kuna Kitu Watanzania wote tunatakiwa Kupongezana sana tena 24/7 na Kumshukuru mno Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere ni Kitendo chake cha kutoruhusu Ukabila nchini ila tubakie tu na Utanzania Wetu kama Kitambulisho chetu Kikuu.

Kenya Ukabila ndiyo utamua Rais wao.

Makubwa, madogo yana nafuu.
Safari hii wamekubali kutawaliwa na mtoto mdogo (yaani mvulana asiyetahiriwa).
 
Ndugu yangu acha kukariri.
Usichukie kuona wakenya wakikosolewa, jifunze kuchukulia mambo kwa mtanzamo chanya kwanza.

Mleta mada anazungumzia ukabila wa wakenya, wewe unazungumzia vita na machafuko ya kisiasa, sijui umewaza nini?

Sasa, turudi kwenye mada.
Je, siasa za Kenya hazijajikita kikabila?
Je, wewe unaona ufahari na siasa za kikabila?

Duuu huyu Tony254 sijui ana tatizo gani. Yaani yeye akili zake zinawaza vita tuu. huo mpambano wa kikabila kwa mtu mwenye akili sawa anajua ni mikakati ya ushindi kwa kila upande. sasa suala la vita linaanzia wapi.
 
Bora wao wana ukabila ila wana democracy , sisi hatuna ukabila lakini wtawala wanatuchezea watakavyo kwa sababu hatuna democracy.
Halafu ukabila unaenda mwishoni kenya , jaluo na mkikuyu hawajawahi kuwa marafiki , ni safari hii ndo inatokea
 
Kama kuna Kitu Watanzania wote tunatakiwa Kupongezana sana tena 24/7 na Kumshukuru mno Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere ni Kitendo chake cha kutoruhusu Ukabila nchini ila tubakie tu na Utanzania Wetu kama Kitambulisho chetu Kikuu.

Kenya Ukabila ndiyo utamua Rais wao.
Kuna mpumbavu anataka kufufua ukabila kwa kufufua uchifu
 
Vita ya Kenya si ya kikabila tena,Vita ni ya wanyanyaswa(Hustlers) VS Wanyanyasaji(Dynasties)😬😬😬😬👌
 
Duuu huyu Tony254 sijui ana tatizo gani. Yaani yeye akili zake zinawaza vita tuu. huo mpambano wa kikabila kwa mtu mwenye akili sawa anajua ni mikakati ya ushindi kwa kila upande. sasa suala la vita linaanzia wapi.
Boss huyo sio mimi. Tuheshimiane. Kwa hivyo unadhani mimi nina accounts mbili JF? Unadhani sina kazi nyingine ya kufanya isipokuwa kushinda humu kutwa kucha nikiongea na ng'ombe za South?
 
Bora wao wana ukabila ila wana democracy , sisi hatuna ukabila lakini wtawala wanatuchezea watakavyo kwa sababu hatuna democracy.
Halafu ukabila unaenda mwishoni kenya , jaluo na mkikuyu hawajawahi kuwa marafiki , ni safari hii ndo inatokea
Waeleze hawa wenzako. Hawaelewi demokrasia ni nini. Yaani nyie mna udikteta wa Chama kimoja.
 
Kama kuna Kitu Watanzania wote tunatakiwa Kupongezana sana tena 24/7 na Kumshukuru mno Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere ni Kitendo chake cha kutoruhusu Ukabila nchini ila tubakie tu na Utanzania Wetu kama Kitambulisho chetu Kikuu.

Kenya Ukabila ndiyo utamua Rais wao.
WAKUNYA HAWANA MAANA YOYOTE WAUWANE TU...
 
Kama kuna Kitu Watanzania wote tunatakiwa Kupongezana sana tena 24/7 na Kumshukuru mno Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere ni Kitendo chake cha kutoruhusu Ukabila nchini ila tubakie tu na Utanzania Wetu kama Kitambulisho chetu Kikuu.

Kenya Ukabila ndiyo utamua Rais wao.
Bruh ukabila upo semaaa pongeza kwmba sio katika kiwango icho cha wakenya
 
7Unanijibu kwa ugoko sio? Ha ha ha, hujielewi.
Swala la kujielewa liko too personal ,
Unasema una democracy nchini kwako ,
Team msoga ndo hiyo imeshika hatamu, sijui hata kama unaelewa maana ya "hatamu" and Fyi ,they are here to stay labda watuonee huruma .

Ujinga kama huu hapo kenya kwa majirani ulikuwepo enzi za Kanu na tokea wamepata katiba mpya hautokaa utokee tena.
 
Kwa hiyo wewe unatafsirije hiyo "democracy" unayoiongelea hapa?
 
Every Kenyan election, Tanzanian idiots open threads and preach war against Kenya, yet every Kenyan election goes on peacefully. You're really praying for Kenya to fail. You guys are so full of hatred.
Kwa taarifa hakuna uchaguzi Kenya uliofanyika peacefully kila uchaguzi ukifika mnaanza kupigana
 
Back
Top Bottom