Zanzibar-ASP
JF-Expert Member
- Nov 28, 2013
- 11,550
- 40,697
Unasema usichokijua.kwa Majirani zetu wa Kenya Ukabila bado ni Tatizo.
Jambo hilo halina kificho ila nawashauri sana ndugu zetu wa Kenya wasiendekeze Ukabila....waungane wamchague Rais ambaye haendekezi suala la Ukabila.....
kwa Maoni yangu namuona Wiliam Ruto anaweza na anafaa sana kuondoa Ukabila Kenya.
"Baba" anaweza kubakia kuwa mshauri.
Ruto na Odinga wote wamebeba blocks za makabila makubwa, wote wanatumia platforms za kikabila kutafuta kuungwa mkono. Hapo hakuna cha afadhali.