Kenya 2022 Sasa ni rasmi kuwa huko Kenya katika '2022 General Election' ni Vita kati ya Kikuyu na Luo dhidi ya Kalenjin na Luya

Kenya 2022 Sasa ni rasmi kuwa huko Kenya katika '2022 General Election' ni Vita kati ya Kikuyu na Luo dhidi ya Kalenjin na Luya

Kenya 2022 General Election
Umesema una chuki na Kenya humu severally. Mbona unaruka? Na Wakenya wanapotosha kivipi?
Onyesha wapi nimesema Niko na chuki na Kenya, ukiangalia post zangu nyingi za kuishambulia Kenya ni kujibu mapigo "reaction", baada ya ninyi kutushambulia au kuonyesha dharau au kupotosha kuhusu Tanzania.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Siasa za Kenya ni za kijinga jinga sana ! Unakuta mtu msomi anaona fahari kujitambulisha na siasa za Kikabila! Wanajiita kabisa Kikuyu Nation, Kalenjin Nation ,Luo Nation n.k
Huwa wanapenda sana kumnukuu Hayati Julius Nyerere kwenye mambo ya msingi lakini hili la ukabila hawataki kabisa kumnukuu Nyerere!
Hayati Julius Nyerere alishasema wanasiasa muflisi hukimbia kujificha kwenye ukabila.
Miaka si mingi ijayo hawa wajinga wa Kenya lazima watachapana tu!
 
Onyesha wapi nimesema Niko na chuki na Kenya, ukiangalia post zangu nyingi za kuishambulia Kenya ni kujibu mapigo "reaction", baada ya ninyi kutushambulia au kuonyesha dharau au kupotosha kuhusu Tanzania.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Hapa

Between Nigerians and Kenyans, I would rather side with Nigerians, you Kenyans are leading the world against Tanzania in everything possible, Kenya is number one enemy of Tanzania
 
Yes, when you lead the world against Tanzania like during covid-19 crisis, or the way you were leading the world against Tanzania in support of Nigerian lady who claimed to be humiliated in Zanzibar, or you always try to through baseless allegations that Tanzania hates Kenya, that will not be tolerated.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Yes, when you lead the world against Tanzania like during covid-19 crisis, or the way you were leading the world against Tanzania in support of Nigerian lady who claimed to be humiliated in Zanzibar, or you always try to through baseless allegations that Tanzania hates Kenya, that will not be tolerated.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
You asked me to post a post of you hating Kenya and I did. Now leave me alone.
 
Kenya ukabila ni sehemu ya fahari yao, wakenya wengi wanajivunia kwa itikadi zao za kikabila na viongozi wao wa kisiasa wajanja wanatumia huo ujinga wa wananchi wao kufanikisha mambo yao.

Siku Kenya ikiweza kuondokana na hili jinamizi la kikabila huenda itapiga hatua za kimaendeleo mara tatu ya ulivyo sasa.

Wakenya badilikeni
Tayari Kenya imepiga hatua ,kitendo cha Gikuyu na Luo kufanya kazi pamoja 2002 na 2022 ni hatua kubwa sana!
 
Traiblism in Kenya is a major stumbling block to democracy, so chonde chonde ndugu zetu wa kenya don't go back to traibalism and ethnicity msipige kura za kikabila pigeni kura kwa kuzingatia sifa bora ya/za Mgombea.
Nyinyi ambao mnapiga kura kuzingatia ubora na sifa za mgombea mumetishinda na nini?
 
Jamii forum as a source of information? Wewe kilaza wa vilaza

Umezoea kunywa matope ndio maana huwa unaandika matope.
IMG_1369.jpg
 
Kenya imeshampata Rais mpya siku nyingi sana.Chezea Afrika wewe😁😁😁
View attachment 2199855
Jombaa, kisheria kwenye katiba ya Kenya 2010, kiongozi wa upinzani ni cheo rasmi. Yaani 'leader of the official opposition' na inaandamana na mshahara, ofisi, heshima na mazagazaga yote mengine.

Tena ni haki yake na hakuna jambo lolote lile ambalo rais anaweza akafanya kuhusu suala hilo. Hata kama wana ugomvi/uadui wa kisiasa, inabaki kuwa hivyo. RAO ameshikilia cheo hicho, tangia enzi za utawala wa mwendazake rais Kibaki. 😄 Wewe unadhani ni kwanini huwa ana kiburi cha sampuli hiyo.
 
Every Kenyan election, Tanzanian idiots open threads and preach war against Kenya, yet every Kenyan election goes on peacefully. You're really praying for Kenya to fail. You guys are so full of hatred.
The essence of a Kenyan Mind is not far from that of a Cow
 
Back
Top Bottom