joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
Onyesha wapi nimesema Niko na chuki na Kenya, ukiangalia post zangu nyingi za kuishambulia Kenya ni kujibu mapigo "reaction", baada ya ninyi kutushambulia au kuonyesha dharau au kupotosha kuhusu Tanzania.Umesema una chuki na Kenya humu severally. Mbona unaruka? Na Wakenya wanapotosha kivipi?
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app