joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
Onyesha wapi nimesema Niko na chuki na Kenya, ukiangalia post zangu nyingi za kuishambulia Kenya ni kujibu mapigo "reaction", baada ya ninyi kutushambulia au kuonyesha dharau au kupotosha kuhusu Tanzania.Umesema una chuki na Kenya humu severally. Mbona unaruka? Na Wakenya wanapotosha kivipi?
Waeleze hawa wenzako. Hawaelewi demokrasia ni nini. Yaani nyie mna udikteta wa Chama kimoja.
HapaOnyesha wapi nimesema Niko na chuki na Kenya, ukiangalia post zangu nyingi za kuishambulia Kenya ni kujibu mapigo "reaction", baada ya ninyi kutushambulia au kuonyesha dharau au kupotosha kuhusu Tanzania.
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Between Nigerians and Kenyans, I would rather side with Nigerians, you Kenyans are leading the world against Tanzania in everything possible, Kenya is number one enemy of Tanzania
Yes, when you lead the world against Tanzania like during covid-19 crisis, or the way you were leading the world against Tanzania in support of Nigerian lady who claimed to be humiliated in Zanzibar, or you always try to through baseless allegations that Tanzania hates Kenya, that will not be tolerated.Hapa
You asked me to post a post of you hating Kenya and I did. Now leave me alone.Yes, when you lead the world against Tanzania like during covid-19 crisis, or the way you were leading the world against Tanzania in support of Nigerian lady who claimed to be humiliated in Zanzibar, or you always try to through baseless allegations that Tanzania hates Kenya, that will not be tolerated.
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Miezi michache ijayo. Hawa jamaa hawana ujanja ikifika wakati wa uchaguzi ni lazima wachapane.โฆMiaka si mingi ijayo hawa wajinga wa Kenya lazima watachapana tu!
Tayari Kenya imepiga hatua ,kitendo cha Gikuyu na Luo kufanya kazi pamoja 2002 na 2022 ni hatua kubwa sana!Kenya ukabila ni sehemu ya fahari yao, wakenya wengi wanajivunia kwa itikadi zao za kikabila na viongozi wao wa kisiasa wajanja wanatumia huo ujinga wa wananchi wao kufanikisha mambo yao.
Siku Kenya ikiweza kuondokana na hili jinamizi la kikabila huenda itapiga hatua za kimaendeleo mara tatu ya ulivyo sasa.
Wakenya badilikeni
Nyinyi ambao mnapiga kura kuzingatia ubora na sifa za mgombea mumetishinda na nini?Traiblism in Kenya is a major stumbling block to democracy, so chonde chonde ndugu zetu wa kenya don't go back to traibalism and ethnicity msipige kura za kikabila pigeni kura kwa kuzingatia sifa bora ya/za Mgombea.
Nyinyi ambao mnapiga kura kuzingatia ubora na sifa za mgombea mumetishinda na nini?
Niletee taarifa inayosema kwamba Kenya 'imeomba' chakula danganyika ama kwinginekoHatuombi msaada wa chakula karne hii ya 21.
Niletee taarifa inayosema kwamba Kenya 'imeomba' chakula danganyika ama kwingineko
Jamii forum as a source of information? Wewe kilaza wa vilazaSaa hii ndo umepata comeback!
Imebidi nicheke kwanzaMakabila yanapokuwa mengi, ukabila unapungua.
Fikiria, nchi ingekuwa na makabila mawili tu, mfano, Wachagga na Wahaya tu.
Jamii forum as a source of information? Wewe kilaza wa vilaza
Jombaa, kisheria kwenye katiba ya Kenya 2010, kiongozi wa upinzani ni cheo rasmi. Yaani 'leader of the official opposition' na inaandamana na mshahara, ofisi, heshima na mazagazaga yote mengine.Kenya imeshampata Rais mpya siku nyingi sana.Chezea Afrika wewe๐๐๐
View attachment 2199855
The essence of a Kenyan Mind is not far from that of a CowEvery Kenyan election, Tanzanian idiots open threads and preach war against Kenya, yet every Kenyan election goes on peacefully. You're really praying for Kenya to fail. You guys are so full of hatred.