Sasa ni Rasmi Magufuli amegoma kufa!

Sasa ni Rasmi Magufuli amegoma kufa!

🤣🤣🤣🤣 na wewe umekubali mbowe ndio aliemuua Chacha wangwe na kumpiga lissu lisasi nashukuru pia
Ila nikuhakikishie, Kama Mbowe angehusika Leo angekuwa amenyongwa. Umesahau kitendo Cha Mbowe kuajiri JWTZ wastaafu kikampatia kesi ya ugaidi?. Sembuse aue na serikali ijue. Tuwe realistic.
 
KWa huu uzwazwa CCM itaendelea kutudumaza mpaka kiyama.
Unaamini kabisa WaTanzania tuna furaha!!?
-Nenda vijijini huko ukaone ushuru hadi wa pilipili ukisafiri na mazao.
-Umeme umekua ni shida.
-Upigaji umekua mwingi kila kona.
-Watumishi wa umma wamerudi kutokuwa wawajibikaji.
-Nchi imekua na ahadi za uongo mathalan katika suala la umeme na SGR.
YANI UKO SERIOUS UNASADIKI TZ TUNA FURAHA??
Nchi bila upigaji haiendi ndugu lazima wachache wapige ili pesa zije mtaani na mzunguko uwe mkubwa. Hakuna anayepiga halafu pes akazifukia shimoni lazime zije kwa namna mbalimbali mfano kuhonga michepuko, kulala maguuest na michepuko au wake za watu nk.
 
Kidogo sana ndo chanzo Cha kurundikana magradute mtaani kiasi ambacho ugaidi ulitaka kuanza
😂😂😂😂😂😂😂😂 Huwezi kuwa serious we jamaa.
Magufuli aligoma katika suala la kuongeza mishahara tu.
Pia ajira zilikua za hatua kwa hatua ili kuendana na pato la nchi.
Hivi unajua kama kipindi cha Kikwete nchi ilikua ikikopa ili kulipa watu mishahara??
Na ndicho anachofanya Samia Suluhu Hassan pia.
Nadhani unaelewa athari yake.
 
Kumbuka jk hakuwa kuacha mwalimu au daktari mtaani. Alikuwa ankomba wote tena bila kuomba
 
Nchi bila upigaji haiendi ndugu lazima wachache wapige ili pesa zije mtaani na mzunguko uwe mkubwa. Hakuna anayepiga halafu pes akazifukia shimoni lazime zije kwa namna mbalimbali mfano kuhonga michepuko, kulala maguuest na michepuko au wake za watu nk.
Dooooh!
WE unaona hizo ndio njia nzuri kabisa za kuzungusha pesa??
Aya tutoke huko,vipi kuhusu uwajibikaji wa watumishi wa umma nao unauzungumziaje??
 
Dooooh!
WE unaona hizo ndio njia nzuri kabisa za kuzungusha pesa??
Aya tutoke huko,vipi kuhusu uwajibikaji wa watumishi wa umma nao unauzungumziaje??
Uwajibikaji unaotakiwa ni ule wa kuweka mifumo mizuri tu siyo ule woga wa wa watumishi kipindi Cha jpm ambao siyo long lasting.
 
Iko siku ukweli utasimama, haki itatendeka na waovu wataaibika. Wale wote wachunia tumbo wataumbuka, wanafiki wa nchi na wapaka mafuta kwa mgongo wachupa wananchi hakika siku hiyo inakuja. Ukweli utajulikana. Tanzania yangu utabadilika lini Awe Tanza giza je giza litakuisha lin?
 
Kwa hiyo Paroko na kadlinali na Chawa?
Asante kwa comment
Au kwa sababu walikubali wito wa kwenda kumuombea Magufuli kipindi anaumwa au kwa kuwa wewe ni mtoto wa malasusa??
Sijasema ni chawa, Bali nimekupa uhuru uchague tofauti kati ya Kiongozi wa dini na chawa.
 
Uwajibikaji unaotakiwa ni ule wa kuweka mifumo mizuri tu siyo ule woga wa wa watumishi kipindi Cha jpm ambao siyo long lasting.
Nidhamu ya uoga ndio kitu mtu mweusi hususan MTanzania kinamfaa.
WaTanzania pasi na kuwa na kuburutwa huwa hamuwajibiki.
Mifumo mizuri mumewekewa ila mumebweteka na kuridhika kana kwamba mupo kuhudumu milele.
Tena ofisi moja wapo ya kindezi ya umma ni TRA.
Huwa nikienda pale naghadhibika sana,mtu anakuhudumia kama vile hataki au kama unamuomba msaada.
Sehem ya pili hospitali za serikali,nenda uone utoaji huduma wake.
 
Wamekufa viongozi wengi wa nchi hii, lakini wakati wote Magufuli anaonekana kuongelewa kila mara na kila sehemu.

Wengine wanasema angekuwepo tungekuwa nchi ya ahadi kwa sasa, wengine wanasema bwana ya Nyerere lingekuwa limeshaisha na hivyo mgawo wa umeme tungekuwa tunausikia tu.

Treni Dar Dodoma ingekuwa tayari. Upigaji wa hela za umma ungekuwa mdogo sana.

Hadi 2030 tutasikia mengi.

Jana watu walilia, mkuu wa majeshi mstaafu alilia.
Acha fix, aongelewe kwa lipi hasa?
 
Ndiyo. Kwani Kuna shida? Marekani inaongoza kudaiwa na china.
China ile pesa inayomdai USA ni treasury bill.
Treasury bill sio deni tata kama madeni mengine.
Pia wewe nenda ukafuatilie USA inakopa kisa kulipa mishahara???
 
Bora aliefiwa mikononi mwa viongozi wa dini kuliko Baba yako aliefiwa kifuani mwa malaya🤣🤣🤣
Eti viongozi wa dini, nimecheka vibaya. Kwamba viongozi wa dini ndio Nini kwa mfano? Au kwakuwa ww umelemazwa na hizo dini za watu weupe, basi mtu akiwa mbele ya hao walimu wa hizo dini ndio kafia kwa Mungu?! Yaani umeongea use@nge wa hali ya juu.
 
Nidhamu ya uoga ndio kitu mtu mweusi hususan MTanzania kinamfaa.
WaTanzania pasi na kuwa na kuburutwa huwa hamuwajibiki.
Mifumo mizuri mumewekewa ila mumebweteka na kuridhika kana kwamba mupo kuhudumu milele.
Tena ofisi moja wapo ya kindezi ya umma ni TRA.
Huwa nikienda pale naghadhibika sana,mtu anakuhudumia kama vile hataki au kama unamuomba msaada.
Sehem ya pili hospitali za serikali,nenda uone utoaji huduma wake.
Asante. Mi nilikuwa namtumia null hypothesis tu kujua ukweli wa mambo. Ukitaka kujua mambo Anza kuponda kwanza.
 
Tunajaribu kulazimisha watu uongo kana kwamba hatukuwepo Magufuli akiwa Rais.
 
China ile pesa inayomdai USA ni treasury bill.
Treasury bill sio deni tata kama madeni mengine.
Pia wewe nenda ukafuatilie USA inakopa kisa kulipa mishahara???
Treasury bills ni za central bank tu. China haiwezi kuuza Treasury bills kwa outside country. Lengo la Treasury bills ni kukocontrol inflation. Marekani kupitia federal reserve haiwezi kuuza Treasury bills kwa outside country
 
Acha fix, aongelewe kwa lipi hasa?
Kina Jokate na Makamba na mkuu wa TEF wanamuongelea kwa lipi??
Au unakaza fuvu??
Wanasiasa huficha uchafu wao kwa kujificha nyuma ya madhaifu ya marehemu kwa kuyaongelea kila wakati.
Mwanasiasa akitaka aonekane ana ufanisi basi lazima amkosoe marehemu kwanza.
 
Treasury bills ni za central bank tu. China haiwezi kuuza Treasury bills kwa outside country. Lengo la Treasury bills ni kukocontrol inflation. Marekani kupitia federal reserve haiwezi kuuza Treasury bills kwa outside country
Kafuatilie vizuri mkuu.Kama nitakua sijaelewa mimi utanielewesha.
Embu jaribu kupitia hizi article za deni la China kwa USA.

Screenshot_2024-03-19-14-40-48-33_81b5f59f81a9801c9f112972edbe649b.jpg
Screenshot_2024-03-19-14-41-20-84_81b5f59f81a9801c9f112972edbe649b.jpg
 
Back
Top Bottom