Sasa ni Rasmi Magufuli amegoma kufa!

Sasa ni Rasmi Magufuli amegoma kufa!

Mimi niseme tu JPM atabaki kua bora kuliko Mwl. JK na CCM wote waliowah kuiongozq hii nchi.
JPM anapigwa vita sana lakini bado mioyoni mwa watu anaish japo wengine wanajinafikia ili wapate kula kwenye serkali ya SSH.
Mwl. alikua bora ndio lakin si kwa kizazi cha utendaji wa sasa na kasi tunayoiitaji leo, Mtu pekee wa kutufaa alikua Jiwe.
Mtaongea Sana, ila hakuna Kama Nyerere.
 
Asante kwa kuongea na mtoto wa 2004 nashukuru sana bwana mkubwa.Nikwambie kipindi Magufuri anajigamba kuwa Tanzania ya Magufuri mtu pekee wa kumkanya alikuwa hayati Benjamin Mkapa wengine Magufuri aliwaweka mifukoni.Kwa vile Magufuri hakupenda haki aliona kuwa uchaguzi wa 2020 kizuizi kikuu ni Mkapa hivyo akafanya kila namna ya kumpoteza na akafanikiwa.Alipomaliza tu kumzika Mkapa aliyemweka mjini akanza kujitapa na kula mahindi njiani ya kuchoma kwa sababu alijua nini amefanya.Na uchaguzi huo wa 2020 haijawahi tokea tangu enzi za mkoloni hadi ezi za Kikwete.
Kwa taarifa yako kama hujui mtu pekee aliekuwa tegemeo kwa Mgufuli ni Mkapa
Magufuli alikuwa kimbilio lake ni Mkapa ndio maana walipoanza kusuka mpango wa kumuua Magufuli walianza kuangusha nguzo zake kwanza ili iwe rahisi kuumua mpendwa wetu
Ila nakuhakikishia ipo siku mtajulikana tu waambie wenzio damu ya mtu haiendi bure
Haya ni maneno aliongea magufuli kwenye msiba wa mkapa

Mzee Mkapa alinilea kama mtoto wake, alikuwa ni shujaa wangu, alinionyesha upendo, hata kwenye shida Mzee Mkapa hakuniacha kamwe, hakutaka nianguke, alinilea kama mtoto wake. Wakati wote alikuwa ananionyesha upendo, hivyo basi kuondoka kwake ni pigo kubwa kwangu, nimepoteza mtu muhimu katika maisha yangu.

Mkapa ndio ilikuwa nguzo ya Shujaa Magufulli ndio maana wahaini wakaanza naye mkapa
 
kaka huyo nyerere sijui mnamchukuliaje ila ndiye kiongozi ambaye amefanikisha hii nchi wengi kuwa mazezeta na wanasiasa wanajifanya kumpa bega ili kupata pop[ulality sababu amejengewa picha hiyo ni jamaa ambae hakuwa na future na muelekeo sahihi.
Hakuwa na future?. Wananchi walikataa mfumo wa vyama vingi ila Nyerere akiwa mstaafu akatumia Influence kuanzishwa, nani hakuwa na future? Makao makuu Dodoma nani kayabuni au Hilo bwawa la Nyerere nani alibuni? Maana ramani yake imechorwa tangu 1970's.

Tuache kuropoka kisa hatukuwepo Nyerere akiwa Rais.
 
Nyerere aliacha nchi ikiwa na uchumi Mbovu sana..
Na ili kunusuru Uchumi aling'atuka October 1985..

Kutoka mwaka 1974 mpaka 1984, GDP ya Tanzania ilikuwa inakuwa kwa Rate ndogo sana ya 2.6% per year wakati population Ilikuwa ikiomgezeka kwa kasi sana kwa rate ya 3.4% kila mwaka ( kasome kitabu cha "Tanzania; the end of ujamaa". The Economist. Vol. 7460 August 1986. p. 35)

Naendelea......

uchumi wa nchi kutoka vijijini na Mijini uliPoromoka sana kipindi hicho japo Nyerere alianzisha sheria ya Tanzania's minimum wage laws..

Furthermore, the currency was overpriced, basic goods were scarce, and the country had over three billion dollars of foreign debt. Kwahyo hapa ndo unaita nchi ilikuwa Bora?

Agricultural production was low, na hata general opinion was that Nyerere's Ujamaa socialist policies had failed economically.

Kama unakumbuka kuhusu Sera ya Ujamaa ilikuwa ni ku "nationalize" major production, the forced re-villagization of the rural population into communal farms, and the banning of any opposition parties.

Nyerere's supporters were opposed to involving the International Monetary Fund (IMF) and World Bank in domestic economic reforms, believing it would cause instability and conflict with their socialist values.
Also, Tanzania's relationship with the IMF had been strained since Nyerere's government failed to meet the loan conditions from a 1980 financial package agreement.

Na ndo nchi ikaendelea kuwa ngumu Dollar ikapanda watu wakasikika wakilia..

Mwinyi ali negotiate na Kuweka sawa Tofauti na IMF Na World Bank na hatimaye Tanzania ilipata mikopo na maisha yakaanza kuwa Simple tifauti na yalivyokuwa..
SHOULD I CONTINOU TO give you a lecture Mr lwiva?
Mikopo ya mashirika ya fedha mnaiabudu sana mtu asipokopa anayumbisha nchi
 
Magufuli atabakia kuwa Rais mwenye uthubutu katika historia ya nchiii na siyo karne wala miongo
Endeleeni na mashindano. Mara Rais Bora mara blabla nyingi. Kwangu Mimi Rais wa Karne baada ya Nyerere ni mkapa ambaye ndio alimuibua huyo Magufuli wenu.
 
structure ya ufisadi ni huyo Rais wako nyerere kutuwekea katiba mbovu na misingi ya woga ,,,pale hakuna Rais tulipigwa kwa kutengenezewa sifa nzuri.
Nyerere aliandika Katiba Mpya mwaka 1977 na kumfanyia marekebisho mwaka 1984 Kwa kuingiza haki za binadamu. Nyie mpaka Leo mmeshindwa kuandika katiba mpya miaka 24 tangu Nyerere afariki.

Mkiambiwa tuandike katiba mpya hamtaki ila lawama Kwa Nyerere. Mnamatatizo sio kidogo.
 
Mungu ni mwema na ni Mungu wa wote.Hao watumishi machawa kama babu yangu Pengo hawatufai kwa sababu wanachangia 100% kuifilisi nchi.
Asante kwa kuwatukana viongozi wa dini kisa wewe ni imani tofauti
Soma hapa

1 Petro 2:17: "Heshimuni wote, pendeni ndugu wa kiroho, mwogopeni Mungu, mheshimuni mfalme." Hii inatuonyesha kwamba tunapaswa kuheshimu kila mtu, ikiwa ni pamoja na viongozi wa dini nyingine, wakati tunawajibika kwa Mungu.
 
Na wewe punguza makasaliko shujaa ameacha historia tutamkumbuka daima
Magufuli yupo peponi ni mzalendo wa kweli wa nchi yatu.
Nilikuwa sipendi siasa nimaeanzq kupenda siasa kipindi cha Magufuli
Na aliwanyoosha kweli
Lakini alikuwa na huruma
Mimi ndio ningekuwa Rais nyie majizi na mahujumu uchumi ningewaua hadharani

Ila historia ya Baba yako kulawiti watoto na ukooo wenu kufurahia kifo chake bado nayo itadumu milele
Nimependa hapo uliposema aliwanyoosha. Ila mwisho wa siku akanyooka yeye. Tutembee kwenye ardhi kwa nidhamu na kuacha madharau Kama ya mwendazake.
 
Na wewe punguza makasaliko shujaa ameacha historia tutamkumbuka daima
Magufuli yupo peponi ni mzalendo wa kweli wa nchi yatu.
Nilikuwa sipendi siasa nimaeanzq kupenda siasa kipindi cha Magufuli
Na aliwanyoosha kweli
Lakini alikuwa na huruma
Mimi ndio ningekuwa Rais nyie majizi na mahujumu uchumi ningewaua hadharani

Ila historia ya Baba yako kulawiti watoto na ukooo wenu kufurahia kifo chake bado nayo itadumu milele
Nasema hivi, hata Iddi Amin tunamkumbuka. Hivyo kukumbukwa sio issue, ninachojua Mimi Magu alikuwa kiongozi muovu. Zingatia, wazuri hawafi.
 
Nimekuiliza swali jepesi ila umeshindwa kujibu. Miaka mingapi? Unaanza hadithi za kuzaliwa na kuwa na wajukuu. Yani wewe ni mnafiki Sana. Hapo juu umedai wakati Nyerere akiwa Rais ulikuwa mdogo, Sasa nashangaa unaniambia wakati unazaliwa Mbowe alikuwa mwenyekiti wa CHADEMA. Umesahau kipindi Cha Urais wa Nyerere tulikuwa kwenye mfumo wa chama kimoja?
Toka mfumo wa vyama vingi uanze 1992
Hadi leo huyu si dicteta tukimpa nchi huyu hatoki hadi afe
 
Kwa taarifa yako kama hujui mtu pekee aliekuwa tegemeo kwa Mgufuli ni Mkapa
Magufuli alikuwa kimbilio lake ni Mkapa ndio maana walipoanza kusuka mpango wa kumuua Magufuli walianza kuangusha nguzo zake kwanza ili iwe rahisi kuumua mpendwa wetu
Ila nakuhakikishia ipo siku mtajulikana tu waambie wenzio damu ya mtu haiendi bure
Haya ni maneno aliongea magufuli kwenye msiba wa mkapa

Mzee Mkapa alinilea kama mtoto wake, alikuwa ni shujaa wangu, alinionyesha upendo, hata kwenye shida Mzee Mkapa hakuniacha kamwe, hakutaka nianguke, alinilea kama mtoto wake. Wakati wote alikuwa ananionyesha upendo, hivyo basi kuondoka kwake ni pigo kubwa kwangu, nimepoteza mtu muhimu katika maisha yangu.

Mkapa ndio ilikuwa nguzo ya Shujaa Magufulli ndio maana wahaini wakaanza naye mkapa

Ila nyie wanafiki Sana. Alipopotezwa Ben Saanane mliongea maneno ya dhihaka kana kwamba hakustahili kisa ni CHADEMA, the Same kwa lwajabe na Gwanda. Hata Lissu alipomiminiwa riasisi mliongea kwa dhihaka. Ila Magufuli alipofariki kwa matatizo yake ya moyo mnajifanya kushutumu watu kuwa wamemuua. Kifo Cha Magufuli kiwe somo, unapoua watu jua na wewe utakufa.
 
Nasema hivi, hata Iddi Amin tunamkumbuka. Hivyo kukumbukwa sio issue, ninachojua Mimi Magu alikuwa kiongozi muovu. Zingatia, wazuri hawafi.
Wewe utakumbukwa kwa lipi? Au kwa kugawa tako
 
Back
Top Bottom