Sasa ni Rasmi Magufuli amegoma kufa!

Sasa ni Rasmi Magufuli amegoma kufa!

Ubora wake ni kwenye nini we kichwa
Si mlisema Hana ubavu wa kuimaliza lakini. Mmeamua kupiga u- turn baada ya kuona Samia ni raisi Bora kumzidi rais yeyote aliyewahi kuongoza nchi hii
..... Ni Kumalizia vitu walivyoa anzisha wanaume walio umiza kichwa na kukubali kupigwa mikwara kama ule mradi wa Nyerere rufiji...au ubora kwenye nini ?
 
Ninathamini ukweli kwa sababu unatoa msingi imara kwa maisha yenye maana na uhusiano wenye uaminifu. Uongo unaweza kuleta matokeo mabaya na kuvuruga uhusiano. Kwa hivyo, napendelea ukweli kila wakati, hata kama inaweza kuwa ngumu kwa wakati fulani."
Kwa sababu maendeleo yaliyofanyika yameonekana kwa macho sio kwa kuhadithiwa tena serikali ya hawamu hii ikisema wazi inamalizia miradi iliyoachwa na Magufuli.
Basi naamini nipo katika ukweli.
Hakuna anayekataa hilo kuhusu ubunifu na upambanaji wa Magufuri.Tatizo linakuja pale ambapo watu wachache wanapobeza juhudi na mafanikio ya Watangulizi wake.Nchi hii Magufuri amekuta kila kitu kipo mfano wasomi kibao ameawakuta,ccm ameikuta,vyama vya upinzani amevikuta,wazee wastaafu amewakuta,maendeleo ameyakuta,barabara amezikuta,madaraja ameyakuta,umeme ameukuta,mkikoa ameikuta,makabila ameyakuta,miji ameikuta,majiji ameyakuta,Dodoma ameikuta,Mwanza ameikuta,Arusha ameikuta,Urais ameukuta,Mawaziri amewakuta,Wabunge amewakuta,ukoloni hajaukuta halafu mtu anasema bila Magufuri sijui Tanzania ingekuwa wapi.Hapo ndipo ugomvi unaanzia,hasa mimi siamini katika propaganda.
 
Ubora wake ni kwenye nini we kichwa

..... Ni Kumalizia vitu walivyoa anzisha wanaume walio umiza kichwa na kukubali kupigwa mikwara kama ule mradi wa Nyerere rufiji...au ubora kwenye nini ?
Samia Hana nongwa kama like joka. Kikwete alianzisha mradi wa kupanua bandari bagamoyo badala ya jpm aumalizie akaona hatapata sifa akaona aanzishe vya kwake. Samia amemaliza miradi yake na wa bagamoyo pia wa jk. Mama Hana Haina na hatakagi masifa ya kijinga kutoka na dini yake ya mungu siyo dini ya kikristo ya shetani
 
Hakuna anayekataa hilo kuhusu ubunifu na upambanaji wa Magufuri.Tatizo linakuja pale ambapo watu wachache wanapobeza juhudi na mafanikio ya Watangulizi wake.Nchi hii Magufuri amekuta kila kitu kipo mfano wasomi kibao ameawakuta,ccm ameikuta,vyama vya upinzani amevikuta,wazee wastaafu amewakuta,maendeleo ameyakuta,barabara amezikuta,madaraja ameyakuta,umeme ameukuta,mkikoa ameikuta,makabila ameyakuta,miji ameikuta,majiji ameyakuta,Dodoma ameikuta,Mwanza ameikuta,Arusha ameikuta,Urais ameukuta,Mawaziri amewakuta,Wabunge amewakuta,ukoloni hajaukuta halafu mtu anasema bila Magufuri sijui Tanzania ingekuwa wapi.Hapo ndipo ugomvi unaanzia,hasa mimi siamini katika propaganda.
Mkuu labda kama naongea na mtoto wa 2000
But mimi ni mtu mzima nimekuwepo toka utawala wa mwinyi
Kipindi cha nyerere nilikuwa mdogo kwa hiyo siwezi kujaji sana huko kwa Nyerere
Na sikatai wala sipingi kwamba kila Kiongozi alifanya kwa nyakati zake lakini katika hao kuna bora aliefanya mambo mazuri kwa muda mchache tena kuna ndoto zilikuwapo toka enzi za mwalimu waliopita walishindwa kufanya mfano tu serikali kuamia Dodoma na Ujenzi wa Bwawa kubwa la kufua umeme zilikuwa ni ndoto toka enzi za Nyerere but yeye kafanikiwa
Hata kama darasani wanafunzi wote wamefaulu bado haikosekani kuwa na mwanafunzi aliefaulu zaidi kuwazidi wenzake
 
Samia Hana nongwa kama like joka. Kikwete alianzisha mradi wa kupanua bandari bagamoyo badala ya jpm aumalizie akaona hatapata sifa akaona aanzishe vya kwake. Samia amemaliza miradi yake na wa bagamoyo pia wa jk. Mama Hana Haina na hatakagi masifa ya kijinga kutoka na dini yake ya mungu siyo dini ya kikristo ya shetani
Sasa we ni kichwa .... Kweli ume anza leta mambo ya udini hapa. Dini ya nani ya shetani ?!
Tuongee mambo ya Magufuli, samia na Kikwete au mambo ya dini ya 😈 ?
 
Samia Hana nongwa kama like joka. Kikwete alianzisha mradi wa kupanua bandari bagamoyo badala ya jpm aumalizie akaona hatapata sifa akaona aanzishe vya kwake. Samia amemaliza miradi yake na wa bagamoyo pia wa jk. Mama Hana Haina na hatakagi masifa ya kijinga kutoka na dini yake ya mungu siyo dini ya kikristo ya shetani
Kwa hiyo mnamchukia Magufuli kea sababu ni mkristo??
Ndio Watanzania tumefika huku
 
structure ya ufisadi ni huyo Rais wako nyerere kutuwekea katiba mbovu na misingi ya woga ,,,pale hakuna Rais tulipigwa kwa kutengenezewa sifa nzuri.
Tumia akili acha kutumia kijambio kufikiri kama sa100 ....katiba siyo ulemavu baada ya nyerere kuondoka waliofuata walishindwa nini kuiboresha nyerere alifanya kwa kiwango chake kuipigania haki na wengine walitakiwa kuendelea kufanya asiyo fanya nyerere ...hata nyerere mwenyewe aliwai kusema anashangaa wanabakisha mabovu aliyo fanya na kuondoa mema aliyo yafanya .... kumbuka nyerere ndiye aliyeimiza kukubaliwa kwa mfumo wa vyama vingi licha ya kufanya hivyo akiwa nje ya urais ...kumbuka kura zilipo pigwa watanzania zaidi ya asilimia 80 walikataa mfumo wa vyama vingi ila Nyerere akasema kuwa ni lazima tukubali vyama vingi ili serikali ipate changamoto za kukosolewa
 
Magufuli hawezi kufa kwa sababu 2

1. Wanao yaona mema yake hawapendi afe

2. Wanao yaona mabaya yake hao ndio kabisa wanatamani kumwona kila siku.
 
Na aliacha watanzania Bado 75% Hawajui kusoma na kuandika pia..
Na kuhusu Vita ya Uganda na Tanzania hiyo tuiache kwa sababu hakuna sababu ya Vita iliyokuwepo..
Usidanganyike na Story unazosikia mtaani..
Story uliyowahi kuisikia kuhusu Iddi amini hazina uhalisia hata moja
Sikusema sababu nimesema vita kutokea ..swali vilitokea au la ...je licha ya sababu je idi amini asinge vamia kagera vita vingetokea ? Mizozo ni kitu cha kawaida baina ya nchi na nchi ila kitendo cha idi amini kuvamia kagera kulifanya sababu kuu ya vita ..hata sasa kuna mizozo baina ya tanganyika na Zanzibar ila hakuna vita.
 
Samia Hana nongwa kama like joka. Kikwete alianzisha mradi wa kupanua bandari bagamoyo badala ya jpm aumalizie akaona hatapata sifa akaona aanzishe vya kwake. Samia amemaliza miradi yake na wa bagamoyo pia wa jk. Mama Hana Haina na hatakagi masifa ya kijinga kutoka na dini yake ya mungu siyo dini ya kikristo ya shetani
Hakika ila kukumbatia covid 19 bungeni bado ana shida kubwa sana ya uelewa.
 
Mkuu labda kama naongea na mtoto wa 2000
But mimi ni mtu mzima nimekuwepo toka utawala wa mwinyi
Kipindi cha nyerere nilikuwa mdogo kwa hiyo siwezi kujaji sana huko kwa Nyerere
Na sikatai wala sipingi kwamba kila Kiongozi alifanya kwa nyakati zake lakini katika hao kuna bora aliefanya mambo mazuri kwa muda mchache tena kuna ndoto zilikuwapo toka enzi za mwalimu waliopita walishindwa kufanya mfano tu serikali kuamia Dodoma na Ujenzi wa Bwawa kubwa la kufua umeme zilikuwa ni ndoto toka enzi za Nyerere but yeye kafanikiwa
Hata kama darasani wanafunzi wote wamefaulu bado haikosekani kuwa na mwanafunzi aliefaulu zaidi kuwazidi wenzake
Kwa taarifa yako baada ya Nyerere hakuna aliyefanya kazi kama Ndugu Benjamin Mkapa kongole kwake,ndiyo maana Magufuri alimtanguliza mapema mzee wa watu ili afute rekodi zake lakini alishindwa kwa sababu Mungu aliamua ugomvi.
 
🤣🤣🤣 kwamba MAGUFULI alimuua mkapa??? Ili afute historia yake
Wewe ndio nasikia leo unajua ni nani aliekuwa anampigqnia MAGUFULI kama sio Mkapa??
Amini unachoamini wewe na Mimi niache niamini ninachoamini
Usitake nikae upande wa uwongo wakati
Nimeshuhudia viongozi wote
Kwanza Jf yenyewe umejiunga 2020
Labda naongea na kitoto cha 2004
 
Back
Top Bottom