Sasa ni Rasmi Magufuli amegoma kufa!

Sasa ni Rasmi Magufuli amegoma kufa!

Nibora kuwa na uchumi mbovu kuliko kuligeuza taifa kuwa genge la wahuni wa wafisadi nyerere kaacha nchi safi sana ...kama nyerere alishindwa kiuchumi siyo kosa kosa ni kuigeuza nchi kuwa pango la mafisadi na wahuni
structure ya ufisadi ni huyo Rais wako nyerere kutuwekea katiba mbovu na misingi ya woga ,,,pale hakuna Rais tulipigwa kwa kutengenezewa sifa nzuri.
 
Wamekufa viongozi wengi wa nchi hii, lakini wakati wote Magufuli anaonekana kuongelewa kila mara na kila sehemu.

Wengine wanasema angekuwepo tungekuwa nchi ya ahadi kwa sasa, wengine wanasema bwana ya Nyerere lingekuwa limeshaisha na hivyo mgawo wa umeme tungekuwa tunausikia tu.

Treni Dar Dodoma ingekuwa tayari. Upigaji wa hela za umma ungekuwa mdogo sana.

Hadi 2030 tutasikia mengi.

Jana watu walilia, mkuu wa majeshi mstaafu alilia.
Yeye anaongelewa kwa sababu amekufa akiwa madarakani na kazi zikiwa zinaendelea
 
Asante, Sasa susha munkari maana dhalimu Yuko ahera anaendelea na moto. Sioni kisichoeleweka hapo.
Na wewe punguza makasaliko shujaa ameacha historia tutamkumbuka daima
Magufuli yupo peponi ni mzalendo wa kweli wa nchi yatu.
Nilikuwa sipendi siasa nimaeanzq kupenda siasa kipindi cha Magufuli
Na aliwanyoosha kweli
Lakini alikuwa na huruma
Mimi ndio ningekuwa Rais nyie majizi na mahujumu uchumi ningewaua hadharani

Ila historia ya Baba yako kulawiti watoto na ukooo wenu kufurahia kifo chake bado nayo itadumu milele
 
Mjinga ni wewe uliyekuwa unafirahia kuitwa MNYONGE
Kwenye maelezo yangu umeona neno 'mnyonge'?
Kwa akili kama zako hizo magufuli angekupiga na makofi kabisa.

Unaonaekana wewe ni mjinga kwa kiwango kikubwa.

Pole lakini hayupo sahivi unaweza kujiita mwenye nguvu utafika uchumi wa juu. Mbuzi wewe
 
Nibora kuwa na uchumi mbovu kuliko kuligeuza taifa kuwa genge la wahuni wa wafisadi nyerere kaacha nchi safi sana ...kama nyerere alishindwa kiuchumi siyo kosa kosa ni kuigeuza nchi kuwa pango la mafisadi na wahuni
..pia uwezo wako kiakili ni mdogo sana ukumbuke mabeberu usipo yasujudia na kupingana nayo yatakufanyia figisi ...nyerere alipingana na unyonyaji wa mabeberu africa nzima na mengine aliyaua kwa njia mbalimbali kama kuunda majeshi ya ukombozi africa..pia ukumbuke vita vya uganda ..pia ukumbuke nyerere kapokea nchi mikononi mwa wakoloni hata asilimia zaidi 85 ya watz walikuwa awajui hata kusoma na kuandika...
Na aliacha watanzania Bado 75% Hawajui kusoma na kuandika pia..
Na kuhusu Vita ya Uganda na Tanzania hiyo tuiache kwa sababu hakuna sababu ya Vita iliyokuwepo..
Usidanganyike na Story unazosikia mtaani..
Story uliyowahi kuisikia kuhusu Iddi amini hazina uhalisia hata moja
 
Nyerere Rais bora kuwahi kutokea asilimia 90% ya Watanzania wanaongea Kiswahili na wanajua kusoma na kuandika kwa sababu ya maono yake yaliyotukuka.
 
Watanzania wengi tulitamani kumuona Rais wetu JPM anamaliza awamu zake zote 2 .

Sasa tumebaki na matamanio ya je angemaliza Tanzania ingekuwa wapi sasa

Na wengi tunaamini tungekuwa mbali sana

Ila waliotuweza walituweza hasa

Asante Mungu kwa maisha ya mtumishi wake JPM

Tutamlilia daima
 
Mungu aliamua ugomvi,acheni visingizio.
 
Hayo ni mabadiliko ya kawaida ya tekinologia unadhani hata asingeruhusu Tanzania ingekuwa vile vile?????

Mtoto tu anazaliwa hajui chochote anaanza kutambaa na badae anatembea

Acheni sifa za kijinga
Mbona hayo hayakufanyika kipindi cha Nyerere kama ni mabadiliko ya kawaida?
 
Hongera shilingi ina pande mbili inategemea wewe unapendelea nini uongo au ukweli?
Ninathamini ukweli kwa sababu unatoa msingi imara kwa maisha yenye maana na uhusiano wenye uaminifu. Uongo unaweza kuleta matokeo mabaya na kuvuruga uhusiano. Kwa hivyo, napendelea ukweli kila wakati, hata kama inaweza kuwa ngumu kwa wakati fulani."

Kwa sababu maendeleo yaliyofanyika yameonekana kwa macho sio kwa kuhadithiwa tena serikali ya hawamu hii ikisema wazi inamalizia miradi iliyoachwa na Magufuli.

Basi naamini nipo katika ukweli.
 
Back
Top Bottom